Kugegeda

Kugegeda

Kugegede ni neno la heshima yaani neno la lenye asili ya kibantu lenye maana ya salamu mfano za sahizi

Mtoa Mada nasikitika kuona walionitangulia kutoa maoni wanapotosha lugha hii adhwimu kutoka ubantuni ambayo inaelekea kupotea hvyo basi nakusihi endelea kulitumia ili neno kusalimia watu ili kulikuza lisipotee
Na wengi wahenga na tuliozunguka sana tunalitambua

Mfano pendelea kusalimia watu mfano bosi au mpangaji mwenzio mfano "nitakugegeda boss "ikiwa na maana habari za sahizi boss
😝😝😝jamii forum bana
 
we kweli mgeni unacheo cha Member,kugegeda ni kubandua,watu wanabanduana mchanamchana humu kwenye Gesti za JF na Mods wanashangilia
 
Kugegeda ni kula kiporo mkuu,ukiamka asbuhi ukala chakula ulichopika Jana,hapo wewe utakuwa umegegeda
 
Wajumbe habari zenu.nimekua nikichungulia kwenye forum hii kwa siku kadhaa na nimepatwa na mtikisiko wa mawazo kutokana na neno kugegeda.hivi hili neno Lina maana gani? Maana Kuna muda nahisi ni Bata dume ambae anaitwa gegedu.huenda Ni typing error ya mwandishi Cha ajabu kila nikichungulia humu nazidi kukutana nalo.kugegeda Ni Nini hichi??
hahaa...ni kusex kwa mujibu watumiaj
 
Kugegede ni neno la heshima yaani neno la lenye asili ya kibantu lenye maana ya salamu mfano za sahizi

Mtoa Mada nasikitika kuona walionitangulia kutoa maoni wanapotosha lugha hii adhwimu kutoka ubantuni ambayo inaelekea kupotea hvyo basi nakusihi endelea kulitumia ili neno kusalimia watu ili kulikuza lisipotee
Na wengi wahenga na tuliozunguka sana tunalitambua

Mfano pendelea kusalimia watu mfano bosi au mpangaji mwenzio mfano "nitakugegeda boss "ikiwa na maana habari za sahizi boss

Kamanda hahahahahaha dah ahsante kwa kunichekesha na kuniongezea siku za kuishi. Yaani huyo boss awe Mwanamke nakwambia utaozea ndani maana Ile sheria ya sexual harassment itakuhusu
 
Hahahahah..pua lako
Kugegede ni neno la heshima yaani neno la lenye asili ya kibantu lenye maana ya salamu mfano za sahizi

Mtoa Mada nasikitika kuona walionitangulia kutoa maoni wanapotosha lugha hii adhwimu kutoka ubantuni ambayo inaelekea kupotea hvyo basi nakusihi endelea kulitumia ili neno kusalimia watu ili kulikuza lisipotee
Na wengi wahenga na tuliozunguka sana tunalitambua

Mfano pendelea kusalimia watu mfano bosi au mpangaji mwenzio mfano "nitakugegeda boss "ikiwa na maana habari za sahizi boss
 
Exactly!! Thank you 4 your welcome.
But not she.you may use he pliz
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] imetumika intentionally

nimependa ulivosuggest "you may use he pliz"

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom