Kugawanyika Kwa watanzania

Kugawanyika Kwa watanzania

Kwanza CCM ni chama ambacho kina wafuasi wengi kuanzia ngazi ya Chini kina wapiga Kura wengi hiyo ni Imani yenu Tu kuwa CCM inatumia vyombo vya Dola Kwa Sababu CCM wanawatu wengi Sana
Ina wanachama wengi wazee kwa sababu za kihistoria na wala sio kwasababu ya ubora. Ingekuwa na wapiga kura wengi isingekuwa inategemea kuiba kura. Uwe na watu wengi kisha utegemee wizi wa kura? Nimecheka kinoma.
 
Anapendwa kisha ikifika kipimo cha kupendwa anapora uchaguzi, uza ubongo huo. Angeheshimu matokeo halali ya uchaguzi tungemaliza huo uongo wa kupika kuwa anapendwa sana.

Ni kweli mliokuwa mnaompenda mlimpenda sana, lakini sio kuwa alikuwa anapendwa sana na wengi, na hiyo ndiyo sababu alipora uchaguzi ili kupata matokeo aliyokuwa anaongepea watu.
Wewe ujue Tu hakuna chama chochote Kina uwezo wa kuishinda CCM na ni mtu Tu asiyekuwa na Akili anayefikiri kuwa CCM inampinzani Tanzania.ccm haiwezi kupora uchaguzi wanawatu wengi Sana.
 
Kwanza CCM ni chama ambacho kina wafuasi wengi kuanzia ngazi ya Chini kina wapiga Kura wengi hiyo ni Imani yenu Tu kuwa CCM inatumia vyombo vya Dola Kwa Sababu CCM wanawatu wengi Sana

Hizo ni porojo za miaka ya nyuma, CCM haina ushawishi wa kizazi cha kuanzia miaka ya 90, Ndio maana inalazimisha kukaa madarakani kwa shuruti. Kuwa na ukubwa kutokana na sababu za kihistoria, haimaanishi una ushawishi. Na siku uchaguzi utakuwa huru ndio utajua CCM sio chama cha kizazi hiki.
 
Wewe ujue Tu hakuna chama chochote Kina uwezo wa kuishinda CCM na ni mtu Tu asiyekuwa na Akili anayefikiri kuwa CCM inampinzani Tanzania.ccm haiwezi kupora uchaguzi wanawatu wengi Sana.
Ina watu wengi kisha inaaogopa uchaguzi halali, uza ubongo huo bro maana unakaa nao kwa hasara.
 
Hizo ni porojo za miaka ya nyuma, CCM haina ushawishi wa kizazi cha kuanzia miaka ya 90, Ndio maana inalazimisha kukaa madarakani kwa shuruti. Kuwa na ukubwa kutokana na sababu za kihistoria, haimaanishi una ushawishi. Na siku uchaguzi utakuwa huru ndio utajua CCM sio chama cha kizazi hiki.
Mtaji ni watu.CCM inawanachama wangapi na wapinzani wanawanachama wangapi?anzia hapo
 
Ina watu wengi kisha inaaogopa uchaguzi halali, uza ubongo huo bro maana unakaa nao kwa hasara.
CCM wamekuambia wanaogopa uchaguzi? CCM haijawahi kuogopa uchaguzi Kwa Sababu wanauhakika wa ushindi
 
Mtaji ni watu.CCM inawanachama wangapi na wapinzani wanawanachama wangapi?anzia hapo
Watanzania wengi hawana vyama, huenda hujui hilo. Ww baki na idadi ya wanachama wa kupika, na kuuza kadi kwa watu wenye hofu na CCM. Kizazi kimebadilika hiki, na CCM kuiba kura ni kwakuwa muda na kizazi haviko upande wao. Ila kwakuwa ww ni mzee bado unaamini kwenye wingi wa propaganda.
 
Bado hujapanick vizuri, utapanick sana. Kama mnajua hakuna anayependwa na wote, ni kipi kinawaliza hapa tukimpa dhalimu vipande vyake?
Mbona ujumbe wangu uko wazi wewe dada. Ni Kwamba jpm tutaendelea kumpenda tena sana wala hatujali wewe unasema nini!

Ujinga wako mkubwa ni kwamba eti unachopenda wewe na sisi tupende hicho hicho. Ndiyo maana nikakufafanualia kwa kukuambia kuwa hata sisi huwezi kutulazimisha kumpenda mmeo eti kisa dada Tindo anampenda huyo mwanaume.

Kwa hiyo sema mpaka utanuke nyonga na marinda lakini jua kua kwetu sisi jpm ni shujaa.
 
Kama hakuna mpinzani anaweza kumshinda mgombea wa CCM, kipi kinafanya CCM izidi kutegemea vyombo vya dola tena wazi wazi? Wapinzani wamekuwa wakilalamika wizi wa kura kabla ya dhalimu kuingia madarakani, lakini dhalimu yeye hakuiba kura, bali alipora mchakato wa uchaguzi.

Uzuri Nchi yetu ilitambua maharamia, mamluki na vibaraka wa Mabeberu na Kuwashughulikia ipasavyo. Wananchi wataendelea na mtindo huo huo. Kuwabaini magaidi na masaliti ya Nchi. Sasa mkimaliza "Domokrasia" mfunge vilago na muondoke tu, au mchague, mnataka ubunge wa kupewa. Maana yake hamchaguliki nyie chadema na mmeshakosa imani. Mnajiteka, mnajipiga risasi, mnalewa na kudondoka hovyo kabisa halafu mnadai ati kuna Watu wasiojulikana! Mmesikia wapi hiyo? Mnapenda kuunga unga uharakati wenu ati ndio Siasa. Haya sasa, mnaropoka ropoka hadharani kupata vijiheadlines.
 
Mzee Tundu Biffu sasa amebaki kuwa Kivutio, tunajua yeye na DJ Mbowe hazipandi. Sasa mnaleta uhasama wenu kwenye siasa, mnataka kugawa Tanzania kwa kutumia Utawala wa Majimbo, na kwaavile mnaogopa the One big voting Block, i.e Wasukuma tribe, you have decided to engage in hatred speech, and dehumanasing tendencies and remarks towards the Tribe of Wasukumu, vowing to wipe them off the face of Tanzania just because they chose to vote for CCM? Because they voted for the late President J.P.Magufuli! I mean you are seriously thinking about exiting 20% of the Population to another country so you may achieve your Goals? Be serious CHADEMA. Stop your secessionist and division politics, stop your Genocidal politics and stop your Hate.

Tindo Biffu you have been a Spearhead of the Genocidal and Secessionist movement to a point of menacing the whole society of Tanzanians...especially the Wasukuma tribe/people. Oh well, we know how hitler and the far right movement which you represent, have had such a devastating effect and outcome by usingbthe same tactile,-of words and phrases like "Sukuma gang" just like the "Ghetto gangs"towards the Jews....And now you are preaching and projecting the same doctrine to be adopted and Used by Tanzanians and especially the CHADEMA members....to forcefully and menacingly harass Wasukuma Tribe! Tindo Biffu, Again stop your Genocidal and Secessionist Ideas.
 
Kilichofanyika juzi sio kuonyesha umoja ulivyoondoka maana tayari dhalimu alishauondoa, bali kilichofanyika juzi ni nyie sukuma gang kujaribu kujifariji kutokana na mashambulizi anayopewa dhalimu kutokana na aina ya siasa zake za kuhayawani alizoendesha hapa nchini.

Kwa bahati mbaya mnadhani kuna mtu atatishika na reaction yenu. Hakuna mtu atatishika na kilio chenu, na tutaendelea kumsagia kunguni dhalimu ili isitokee kiongozi mwingine muovu wa aina yake kuwa rais wa nchi hii.
Sasa kwa kufanya hivyo unazuia vp kiongozi mwengine muovu kuwa rais? Yani kwamba ccm wachague mtu wao huko wewe utaweza kuzuia?
 
Ukweli ni kwamba sherehe kamili ni siku Makamba au Familia yake Akifa. Pia Kuna wakuu waaili walio bariki Upuuzi huu nao siku wakifa Kuna watu tutatembea Uchi.
 
Kila sukuma gang anatamani hii iwe ndio kitisho au kinga kwa dhalimu. Kwa taarifa yako dhalimu ndio alileta huu upuuzi, na hatupoi. Hatuna muda wa kutaka muungano na watu mliofurahia dhalimu kuumiza wasiokubaliana na utashi wake.
Kwa namna ipi sasa ya kutopoa kijana! Wakati wao wakiendelea kusubiri wengine watwaliwe mbinguni, wa kwao alishatwaliwa kitambo na maumivu kwao siyo kama ya kwao maana wao walishalia wamesahau,

Hao wapya sasa si ni shida kwenu mkuu
 
Back
Top Bottom