Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Kumbe uzalendo ni kufuatisha?
Huu ndio uzalendo ..
Huu ndio uzalendo ..
Ukweli hujitenga na uongo. Sitegemei jipya huko Lesotho, walikuja japa TFF wakawapeleka Chamazi tukatoka sare, Leo wako Kwao Maseru unawafungaje? Samatta naye kadi za mano hachezi. Tufungwe tubadirike.
Mi nilivyoona Samata hayupo tu nilijua tumeumia si shabiki sana wa mpira lakini mechi na C verde samata alikuwa chachu kubwa sana ya ushindi goli la kwanza assist alitoa samata na goli la pili alishinda yeyeMkude ana mipango gani sasa yaani hii sababu ya mkude nani kawa mezesha sababu zingine ni za ovyo kabisa. Kushindwa kwa timu ni wachezaji wenyewe wala si kocha. Kwa kikosi cha tz hakuna mtu ambaye kukosekana kwake ni sababu ya timu kufungwa labda kidgo samata.
Kama England. Kama kawaida yetuMshanza visingizio
Ova
Ww ndo hujui mpira kama unafikiri kutokuepo kwa mkude ndio sababu ya taifa starz kufungwa jana. Huyo mkude ana mechi ngap kacheza taifa starz ?? Sababu ya kupoteza mechi jana si la kocha wachezaji wenyewe tu ndo wamezingua na sijui kama wana watu wakuwaandaa kisaikolojia hii inaweza ikawa sababu na sio ya kutaja mkude.Hujui mpora kaka; acha wanaojua waongee!!
Bora hata England wanaingia kwenye michuano mikubwa sisi tumezidiKama England. Kama kawaida yetu
Hata wakija wakiwapeleka manungu tutapigwa tuLabda kama unazungumzia majukwaa! Lakini kama unazungumzia pitch, ile pitch ina nyasi bandia kama Kaitaba! Karume! Nyamagama! Azam complex! Taifa na Amani Zanzibar! Hizo zote ni pitch ambazo wachezaji wetu wamezizoea!
Huwezi ukamwacha Mkude katikati pale ukategemea timu iwe na muunganiko mzuri. Mkude amekuwa akionesha uwezo wake mkubwa akiwa na Simba week in week out unawezaje kumuacha nje? Angalia sasa timu ilivyokuwa inabutua mpira ishara ya kuwa hawana kiungo wa kaliba ya Mkude.Ww ndo hujui mpira kama unafikiri kutokuepo kwa mkude ndio sababu ya taifa starz kufungwa jana. Huyo mkude ana mechi ngap kacheza taifa starz ?? Sababu ya kupoteza mechi jana si la kocha wachezaji wenyewe tu ndo wamezingua na sijui kama wana watu wakuwaandaa kisaikolojia hii inaweza ikawa sababu na sio ya kutaja mkude.
Ni kweli kuna makosa Ktk upangaji wa kikosi, tukisema Amunike ni Mgeni, Je Hemed Morocco?