Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,515
- 6,489
Jamani kwa uzoefu wangu toka nianze mapenzi mpaka sasa nimeoa, mara zote baada ya kufanya mapenzi wanawake hunifuta vizuuuri sehemu nyeti alafu na kujifuta wao pia. Sasa sijui wanafundishwa au ni nature inayowaalekeze kubeba jukumu la kumfuta mwanaume, (sijawahi wauliza). Ila mimi napenda sana this kind of care. Hata ukienda kwa changudoa ndie atakutoa condom(Please Papa Mt. karuhusu) na pengine kukupukuta. Ninachotaka kujua ni je kuna wengine mambo ni tofauti, yaani demu hakufuti au man ndie anamfuta demu seheme nyeti baada shughuli, au kila mtu anajihudumia kivyake?
Mtanisamehe kama hii mada ilishajadiliwa na mimi sikuiona.
Mtanisamehe kama hii mada ilishajadiliwa na mimi sikuiona.