Kufutwa kwa wanaojiita Wrong Parking System - A-Town

Sep 13, 2011
11
5
Wana JF jana katiaka Mji wa Arusha kuna Gari lilikuwa linapita likitangaza kuwa ile kampuni iliyokuwa inakata nagai yaliyoegeshwa vibaya (kwa masharti na vigezo vyao) imeondolewa katika kazi hiyo toka tarehe 01/09/2011. Amri hiyo imetangazwa na Mkutugenzi wa Halmashauri ya Jiji la A-Town. Cha kusangaza wana JF ni kwamba wafanyakazi wa kampuni hiyo walikuwa wanendelea na kazi hata baada ya kutolewa kwa tangazo hilo, kwani siku ya Ijumaa 9/9/11 jirani kabisa na Ofisi ya Mkurugenzi huyo walifunga chain kwenye gari la utalii lililoegeshwa pembeni eti kwa kuwa ni kubwa na kupititiliza ile mistari yao waliyoichora. Je hii ni haki??
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom