miss wa kinyaru
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 542
- 356
Niko Mwanza napenda niwafutulishe wana JF wa Mwanza lakini, naogopa wengine wasije kuleta maada hapa,
KUFUTULISHA...Duh! kiswahili kigumu au mimi ndie mshamba wa kiswahili?
Niko Mwanza napenda niwafutulishe wana JF wa Mwanza lakini, naogopa wengine wasije kuleta maada hapa,
Tangu lini kiswahili kikawa rahisi?KUFUTULISHA...Duh! kiswahili kigumu au mimi ndie mshamba wa kiswahili?
Afadhali hata ningekuwa msukumaKisukuma hicho
asante mkuu,masahihisho:- kufuturisha