USHURU WA SARUJI IAGIZWAYO KUTOKA NJE KWA SASA NI 25%; na VAt ni 18%.
ushuru umewekwa kwenye saruji ili kulinda uzalishaji wa viwanda vyetu vya ndani; kwani Saruji kutoka nje inaingia kwenye soko letu katika mazingiza ya ushindani usio halali. Nasema hivyo kwa sababu saruji izalishwayo nje na kuletwa kwenye soko letu inapata ruzuku huko itokako. Endapo Serikali itaruhusu saruji hio kuingia nchini bila ya kutozwa ushuru itakua na athari zifuatazo.
1. Uzalishaji wa ndani utadumaa na hatimaye kufa.
2. Ajira za ndani zitapotea.
3. Mapato ya serikali yatapotea (Both ya Ushuru na mapato ya ndani kutoka kwenye uzalishaji wa ndani).
4. Uzalishaji wa ndani ukifa; saruji iagizwayo kutoka nje itapandishwa bei; kwa kuwa itakuwa ishaua uzalishaji wa ndani; hivyo watakuwa na ukiritimba.
KIMSINGI KUFUTA USHURU HAKUWEZI KUSHUSHA BEI YA SARUJI; bali kutaangamiza uzalishaji wa ndani, ajira, mapato na hatimaye kujengea mabepari wanaoagiza saruji kutoka nje MONOPOLY.
AIDHA
kufuta ushuru wa saruji ni kuenda kinyume na utekelezaji wa Itifaki ya Umoja wa Forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki; hivyo kimsingi maanake ni kuelekea kujitoa kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Sasa kusema kuwa unafuta ushuru kwenye saruji ni kujitoa kwenye Jumuiya; ambapo VYAMA VYOTE VINASEMA KWENYE ILANI ZAO KUWA WANAUNGA MKONO MTANGAMANO WA AFRIKA MASHARIKI.
SASA DKT SLAA ALIKUWA ANAWADANGANYA WATANZANIA AU ALIKUWA HAJUI ANACHOKISEMA?
Si kweli kwamba cement yote ya kutoka nje imeptata subsidy huko ilipotoka. Pamoja na kwamba ni muhimu kulinda viwanda vya ndani lakini ni vema pia kuhakikisha viwanda vyetu vinapata ushindani wa kutosha ili kutomuumiza mwanachi wa kawaida kwa bei za juu. Pamoja na hatua hizi za kulinda viwanda vyetu, ni vema kukawekwa utaratibu wa kuvifanya/kuvilazimisha vipunguze gharama na kuongeza ufanisi ili bei ya cement iteremeke. tuzingatie pia hivi viwanda 'tunavyoviita vyetu' pengine sio vyetu ki hivyo!
USHURU WA SARUJI IAGIZWAYO KUTOKA NJE KWA SASA NI 25%; na VAt ni 18%.
ushuru umewekwa kwenye saruji ili kulinda uzalishaji wa viwanda vyetu vya ndani; kwani Saruji kutoka nje inaingia kwenye soko letu katika mazingiza ya ushindani usio halali. Nasema hivyo kwa sababu saruji izalishwayo nje na kuletwa kwenye soko letu inapata ruzuku huko itokako. Endapo Serikali itaruhusu saruji hio kuingia nchini bila ya kutozwa ushuru itakua na athari zifuatazo.
1. Uzalishaji wa ndani utadumaa na hatimaye kufa.
2. Ajira za ndani zitapotea.
3. Mapato ya serikali yatapotea (Both ya Ushuru na mapato ya ndani kutoka kwenye uzalishaji wa ndani).
4. Uzalishaji wa ndani ukifa; saruji iagizwayo kutoka nje itapandishwa bei; kwa kuwa itakuwa ishaua uzalishaji wa ndani; hivyo watakuwa na ukiritimba.
KIMSINGI KUFUTA USHURU HAKUWEZI KUSHUSHA BEI YA SARUJI; bali kutaangamiza uzalishaji wa ndani, ajira, mapato na hatimaye kujengea mabepari wanaoagiza saruji kutoka nje MONOPOLY.
AIDHA
kufuta ushuru wa saruji ni kuenda kinyume na utekelezaji wa Itifaki ya Umoja wa Forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki; hivyo kimsingi maanake ni kuelekea kujitoa kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Sasa kusema kuwa unafuta ushuru kwenye saruji ni kujitoa kwenye Jumuiya; ambapo VYAMA VYOTE VINASEMA KWENYE ILANI ZAO KUWA WANAUNGA MKONO MTANGAMANO WA AFRIKA MASHARIKI.
SASA DKT SLAA ALIKUWA ANAWADANGANYA WATANZANIA AU ALIKUWA HAJUI ANACHOKISEMA?
Solution kwa yote ni vipaumbele vya serikali. Kama serikali ikiwa na vipaumbele vyake kwenue anasa ni wazi hakuna litakalowezekana. Lakini serikali ikisema inataka kupunguza bei ya saruji, inawezekana kabisa. Mfano mzuri ni CCM walipenda kuweka mabango makubwa ya Kikwete nchi nzima na wakaweza. Vyama vingine hawakupenda na hawakuweza.
Mimi nina uhakika Saruji inayoingizwa hapa nchini ni ile iliyopata subsidies.
Kiwanda kikishakuwa Nchini, kinazalisha Nchini kwa kutumia rasilimali zilizopo hapa, ni cha kwetu.
Awali Ushuru wa CET ulikuwa 35%, serikali za EAC zikapunguza hadi 25% kwa vile ilikuwa too expensive to import na pia domestic production haikuwa inapata competition ya kutosha.
Serikali huwa haifanyi maamuzi bila ya kufanya utafiti wa Kina.
Mkuu
Makame watu wenye mawazo kama yako ndo wamelifanya hili taifa liendelee kudumaa,,SO ni vema majority ya Wadanganyika waendelee kulalia TEMBE???Miaka 50 ya uhuru na rasilimali zote hizi tunahsindwa kuzalisha hata SARUJI KWA USHINANI????WAKENYA; WAGANDA WARWANDA WAMEFANYAJE,,so wewe unaona kwa sababu ya kulinda viwanda wa wakoloni ni vema mwananchi wa RUFIJI aendelee kulala juu ya mti???
Nchi zote zilizoendelea wakati walipohamua kuendelea walijifikiria wao kwanza, sasa nyie mnatumia ujinga wa wananchi kuwafurahisha wakoloni( MNAOWAITA WAWEKEZAJI) na kujineemesha wenyewe tu,,Kumbukeni utafika mwisho wananchi watasema basi sijui mtakimbilia wapi. Msifikiri watu ni wajinga kihivyo,,,,,Unazungumzia saruji na SUKARI vipi?. Kama saruji inayozalishwa Pakistan inaweza patikana kwenye soko la Tanzania kwa bei nafuu kuliko SARUJI iliyozalishwa WAZO; MBEYA;TANGA kwanini usijiulize hao wapakistani wamewezaje?Kwanini na nyie msiibe hizo mbinu mzalishe mtosheleze soko la ndani na hatimaye mpeleke na nyie saruji MUMBAI AU KARACHI kwa bei nafuu kama wao??
haihitaji akili za darasani kuelewa kwamba Uko hapa kutetea UJINGA Zinduka kwani madhara ya huu ujinga unaotetea ndo yanayolitafuna hili taifa
SOLUTION YA KUONDOSHA TEMBE SIO KUFUTA USHURU NDUGU YANGU.
Economically you cannot eliminate taxation [mapato] na ukaongeza mapato [subsidizing] zote ni negatives.
LA MSINGI
Sikatai kuwa kuna haja ya kuwezesha Watanzania Kujenga.
Sikubali kuwa kufuta Ushuru ndio DAWA; itakuwa ndio matatizo zaidi!
Kuweka MABANGO SIO SERA YA SERIKALI, ni CHAMA.
VIPAUMBELE VIKO, na ndio maana ilifanywa review ya kushusha ushuru, lakini sio kufuta.
Ila kumbuka kuna mahitaji mengi na rasilimali ni chache.
Hivyo Serikali inaweka mazingira rafiki kwa Biashara, Uwekezaji ili kukuza maendeleo.
USHURU WA SARUJI IAGIZWAYO KUTOKA NJE KWA SASA NI 25%; na VAt ni 18%.
ushuru umewekwa kwenye saruji ili kulinda uzalishaji wa viwanda vyetu vya ndani; kwani Saruji kutoka nje inaingia kwenye soko letu katika mazingiza ya ushindani usio halali. Nasema hivyo kwa sababu saruji izalishwayo nje na kuletwa kwenye soko letu inapata ruzuku huko itokako. Endapo Serikali itaruhusu saruji hio kuingia nchini bila ya kutozwa ushuru itakua na athari zifuatazo.
1. Uzalishaji wa ndani utadumaa na hatimaye kufa.
2. Ajira za ndani zitapotea.
3. Mapato ya serikali yatapotea (Both ya Ushuru na mapato ya ndani kutoka kwenye uzalishaji wa ndani).
4. Uzalishaji wa ndani ukifa; saruji iagizwayo kutoka nje itapandishwa bei; kwa kuwa itakuwa ishaua uzalishaji wa ndani; hivyo watakuwa na ukiritimba.
KIMSINGI KUFUTA USHURU HAKUWEZI KUSHUSHA BEI YA SARUJI; bali kutaangamiza uzalishaji wa ndani, ajira, mapato na hatimaye kujengea mabepari wanaoagiza saruji kutoka nje MONOPOLY.
AIDHA
kufuta ushuru wa saruji ni kuenda kinyume na utekelezaji wa Itifaki ya Umoja wa Forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki; hivyo kimsingi maanake ni kuelekea kujitoa kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Sasa kusema kuwa unafuta ushuru kwenye saruji ni kujitoa kwenye Jumuiya; ambapo VYAMA VYOTE VINASEMA KWENYE ILANI ZAO KUWA WANAUNGA MKONO MTANGAMANO WA AFRIKA MASHARIKI.
SASA DKT SLAA ALIKUWA ANAWADANGANYA WATANZANIA AU ALIKUWA HAJUI ANACHOKISEMA?
Mimi nina uhakika Saruji inayoingizwa hapa nchini ni ile iliyopata subsidies.
Kiwanda kikishakuwa Nchini, kinazalisha Nchini kwa kutumia rasilimali zilizopo hapa, ni cha kwetu.
Awali Ushuru wa CET ulikuwa 35%, serikali za EAC zikapunguza hadi 25% kwa vile ilikuwa too expensive to import na pia domestic production haikuwa inapata competition ya kutosha.
Serikali huwa haifanyi maamuzi bila ya kufanya utafiti wa Kina.
MAKAME
PLZZ naomba usijiaibishe hapa, Huo utafiti wa kina unaouzungumzia ni upi??? au ni the other way round,,,Yako wapi yaliyokuwa mahsirika ya UMMA,,,SO mlifanye utafiti wa kina kuuza TTCL; TRC; ATC????????????????yako wapi leo kama huo utafiti ulikuwa wa kina???Kwa haya mawazo bado safari ni ndefu kweli
Siyo sera ndiyo. Lakini hela zimetoka wapi? Hela za kununulia rada zilitoka wapi? Mabilioni ya hela zinzoibwa na mafisadi kila mwaka zinatoka wapi? Matumizi ya anasa ya serikali, hela zake zinatoka wapi?
SOLUTION YA KUONDOSHA TEMBE SIO KUFUTA USHURU NDUGU YANGU.
Economically you cannot eliminate taxation [mapato] na ukaongeza mapato [subsidizing] zote ni negatives.
LA MSINGI
Sikatai kuwa kuna haja ya kuwezesha Watanzania Kujenga.
Sikubali kuwa kufuta Ushuru ndio DAWA; itakuwa ndio matatizo zaidi!
MKUU
Matatizo zaidi kivipi? Kwa huo mtizamo wako MWALIMU, POLISI,MKULIMA wataonokanaje na TEMBE??? JE na huo ushuru unatoka kwa viwanda vya saruji tu????kama mnaweza wapa ahueni ya ushuru makampuni ya madini ambayo uzalishaje wake hauleti impact yeyote kwa mwananchi wa kawaida kwanini kwenye saruji iwe shida??
cement ya mbeya leo inauzwa sh 20000 kwa mfuko!sioni kama kuna haja ya kulinda eti viwanda vetu vya ndani wakati wawekezaji wanaiba kupitia purchasing za materials toka kwao kama clinker,spare parts,experts etc.eg inakuaje twiga,tembo,simba viwe na bei moja ya saruji kiwandani kama sio makusudi ya kupanga bei na wakati twiga wanatumia gesi ktk uzalishaji?