Habari wakuu. Hivi kifurushi cha chuo cha vodacom kimefutwa au wamebafili namba za kujiungia mana nimetaka jiunga Leo kupitia *149*02# na kukuta maelezo mapya kabisa.[emoji35]
Kwa taarifa nilizo zipata kutoka kwa student wa Malimbe SAUT mwanza " lazima uandikishe jina admissions office ili wafanyakazi wa vodacom wayachukue na kuyaingiza kwa database yao ili kuyatambua kuwa ni wanachuo hivyo utaweza jiunga ukiwa mahali popote kama tigo walivyofanya mwaka jana." Sasa sijui kama ni kweli