Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
Kakosea sana kufunga ofc alizofungua kama ameamua kukaa pembeni basi angefanya hivo lkn ofc aziwache wanaopenda waendeleee
nawaandamane nchi nzima kumtaka huyo jamaa afungue ofisi.ukiwauliza watakuambia tatizo ni ccm.Halafu ndiyo wanasema wanataka kuchukuwa nchi.
nawaandamane nchi nzima kumtaka huyo jamaa afungue ofisi.ukiwauliza watakuambia tatizo ni ccm.
Wewe ngoja utasikia sasa hivi Mnyika anatoa Tamko kuwa Usalama wa Taifa wamefunga ofisi za Chadema Njombe.
Halafu ndiyo wanasema wanataka kuchukuwa nchi.
Sahihi kabisa, na kitendo alichofanya kinaonyesha frustration hatofautiani walichofanya wabunge wa ccm Masha,mama Mbega na yule wa mbeya mjini kuondoa samani ofcn. Shame!Mwisho wa Nyimbo utakuwa wa kusikitisha sana kwa sababu ana zaidi ya frustration. huyu atakuja kujitia kitanzi mwenyewe kwani haoni mwanga bali giza katika kila kitu.