GE2025 Kufungwa mtandao ni kosa kubwa sana

GE2025 Kufungwa mtandao ni kosa kubwa sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

sitagliptin

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2023
Posts
1,497
Reaction score
2,916
Katika hari ambayo inaendelea tanzania. Maandamano yanazid kutanuka kimipaka.

Nawalaumu washauri wa mama na naamini hawampendi au hawamtaki kabisa ndio manaa wanashauri haya
1. Kufungwa kwa mtandao kunazolotesha uchumi kwa vinaja au jamii kubwa ambayo imejiajir kupitia mtandao. Hawa watu njaa ikiwazidi wataingia nao barabarani

2. Maduka kufungwa, yatapelekea njaa kali kwa vijana hasa mawinga na wengine ambao huamka kutafta ili wale. Hawa nao wataongezeka barabarani njaa ikiwa kali hakuna namna.

3. Vituo vya mafuta nchini vinakwenda kuishiwa mafuta soon kundi kubwa la vijana bodaboda watakosa kazi kwa kuishiwa mafuta na hakuna tajiri atajaribu kusafirisha mafuta dar njia hakuna
Hawa madogo njaa ikizid
Wataingia barabarani kudhibiti tayar itakuwa kazi sana

4. Watumishi wa umma kuendelea kubaki majumbani ni kuendelea kudhoofisha uchumi wa nchi na mtu mmoja mmoja hawa wataingia tu barabarani wakichoka

Ushauri wangu.

1. Washeni Mtandao
2. Matokeo yafutwe ipangwe ratiba nyingine lakini matakwa ya wananchi yakizingatiwa
3. Kama yatashindikana hayo mawili badi jeshi litaweka historia ya kuua watu wake maana watu wanaonesha kuchoka kabisa kauli za kina chalamila
 
Katika hari ambayo inaendelea tanzania
Maandamano yanazid kutanuka kimipaka
Nawalaumu washauri wa mama na naamini hawampendi au hawamtaki kabisa ndio manaa wanashauri haya
1. Kufungwa kwa mtandao kunazolotesha uchumi kwa vinaja au jamii kubwa ambayo imejiajir kupitia mtandao
Hawa watu njaa ikiwazidi wataingia nao barabarani

2. Maduka kufungwa, yatapelek3a njaa kali kwa vijana hasa mawinga na wengine ambao huamka kutafta ili wale
Hawa nao wataongezeka barabarani njaa ikiwa kali hakuna namna

3. Vituo vya mafuta nchini vinakwenda kuishiwa mafuta soon kundi kubwa la vijana bodaboda watakosa kazi kwa kuishiwa mafuta na hakuna tajir atajaribu kusafirisha maduta dar njia hakuna
Hawa madogo njaa ikizid
Wataingia barabarani kudhibiti tayar itakuwa kazi sana

4. Watumishi wa umma kuendelea kubaki majumbani ni kuendelea kudhoofisha uchumi wa nchi na mtu mmoja mmoja hawa wataingia tu barabarani wakichoka

5. Wiki ijayo kutakuwa na ratiba ya mitahani ya upimaji kitaifa form 2
Kwa hari ilivyo ikiwa watafanya basi hawa madogo kwenye majiji watakiwa chanzo cha vurugu

ushaur wangu

1. Washeni ntandao
2. Matokeo yafutwe ipangwe ratiba nyingine lakini matakwa ya wananchi yakizingatiwa
3. Kama yatashindikana hayo mawili badi jeshi litaweka historia ya kuua watu wake maana watu wanaonesha kuchoka kabisa kauli za kina chalamila
 
Akili zishawaishia ujue, utawala ukifitinika na busara huwa zinakwisha, hawajui hii ndio inaongeza hasira zaidi na kuongeza waandamanaji!
 
Back
Top Bottom