Kufungwa jiwe miguuni kama tiba

MR. MORRIS T. J.

JF-Expert Member
Apr 18, 2013
1,169
0
Naombeni kufahamishwa kama kuna matibabu ya kuachanisha nyama zilizoshikana kwa kumkarisha mgonjwa kwenye kiti na kumfunga jiwe la kilo 2 miguuni akiwa ananing'niza miguu?hospitali moja madaktari wamemshauri hvy mama yangu. Haya matibabu yamenitia mashaka.naomba mwenye uelewa anijuze.
 

JJ10

JF-Expert Member
Jan 13, 2014
282
0
mkuu kwanza pole kuuguliwa na mama yetu!!

Pili kwani hofu yako ninini? maana mwenyewe unasema madaktari ndio wameshauri hivyo' sasa huna imani na ushauri wa kitabibu uliotolewa na matabibu utakuwa na imani na ushauli na watu kama mimi ambao wengine hiyo sio field yetu?

pili kama ulikuwa na shaka juu ya hilo kwanini usiwaulize na kuwaeleza wasiwasi wako hao wataalamu ili wakuondoe hofu yako?

Kama nimadaktari ondoa shaka mkuu najua wanajua wanachokifanya wala hawajakurupuka kwahilo

Pole
 

MR. MORRIS T. J.

JF-Expert Member
Apr 18, 2013
1,169
0
Naomba niulize kuhusu mgonjwa wa miguu kukalishwa juu ya kiti na kufungwa jiwe la kilo mbili na kuning'iniza miguu
 

MR. MORRIS T. J.

JF-Expert Member
Apr 18, 2013
1,169
0
mkuu kwanza pole kuuguliwa na mama yetu!!

Pili kwani hofu yako ninini? Maana mwenyewe unasema madaktari ndio wameshauri hivyo' sasa huna imani na ushauri wa kitabibu uliotolewa na matabibu utakuwa na imani na ushauli na watu kama mimi ambao wengine hiyo sio field yetu?

Pili kama ulikuwa na shaka juu ya hilo kwanini usiwaulize na kuwaeleza wasiwasi wako hao wataalamu ili wakuondoe hofu yako?

Kama nimadaktari ondoa shaka mkuu najua wanajua wanachokifanya wala hawajakurupuka kwahilo

pole
mimi nipo dar, mama yupo kwa ndugu yangu mwanza, na taarifa ndo nimezipa leo, ndo maana nimeuliza hayo matibabu huwa yapo?
 

dist111

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
3,285
2,000
Dah! Hayo maelekezo hayajitoshelezi! Ila kama aliteguka ina kuwa applied sana!
Kuna mzee mmoja aliteguka mguu na wakati ana kisukari, wakati huohuo anajeraha la kueguka
Waluposhindwa kumfunga bandeji walimfungia jiwe ili lirudishe mguu mahala pale! Alipona ugonjwa wake ingawa kwa ss n marehem (hii ilikuwa 90's) so its possible ingawa kwa teknolojia ya sasa naamin kuna njia nyingi sana za kusolve hilo tatizo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom