Kichankuli
JF-Expert Member
- Dec 18, 2008
- 887
- 189
Tafadhalini wataalam nina maswali mawili nahitaji kujuzwa:
1) Ninawezaje kufungua/kuanzisha ukurasa mwingine pasipo kutumia enter baada ya kuwa nimeandika nusu ya ukurasa mmoja?
2) Kuna siku nilikuwa nafanya kazi kwa kutumia program ya excel, nikaweka amri ya print preview kazi yangu ikaonekana vizuri. Baada ya muda fulani nikataka kuprinti, lakini cha ajabu ikaprint row mbili tu. Nilivyoenda kuanngalia kwenye print preview ikawa sehemu ambayo haijaprintiwa inaonekana kuwa na rangi ya kahawia kama ile inayoonekanaga kwenye eneo ambalo hujaweka kazi yako. Nahisi huenda niligusa kitufe ambacho kilitoa amri nisiyoijua. Kama kuna mtu anaweza kunitatulia tatizo hili tafadhal.