Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,240
- 98,130
Mkuu hata iwe radio gani,tcra lzm ,wao ndio wanaotoa leseni hkn njia ya mkatoingekuwa nataka radio ya kibiashara inahitaji garama kubwa na kulipia mapato ila ni radio ya kijamii sana sana mziki ila ya dini alfu pia ndio nimeomba ushauri sijaamua kurusha matangazo
wadau wa jf habari nina transmitter ya fm radio wat 500 ila nahitaji kufungua radio station ya umbali kias tu,angalau ifikie ata mitaa 5 pekee ila sifahamu kama tcra watakubali maana ela ya kulipia trca sina wala gharama za serikali pia sina ela wadau naomba mnishauri nifanye vp ili niweze fungua radio ? na pia ni umbali upi trca wanaukubali ambao sitaulipia na radio ni kwaajili ya mziki tu msaada wadau kwenye ili
Asante kwa wito mkuuMada Nzuri Kama Hii Ambayo Soon Italeta Kiwanda Haraka Kwa Maendeleo Ya Taifa Letu
Yupo Member Mmoja Anatoa Huduma Za Ushauri Na Hata Kufunga Radio, Acha Nimwite Kwenye Hii Thread Yako Aje Atoe Madini
CC: Radio Producer
Usifikiri kwamba uthibiti uliopo kwenye kufungua radio ni swala la kodi peke yake; lahasha. Ni usalama pia, pamoja na kujua unataka kuwasiliana nini na jamii kupitia mziki wako. Wewe unadhani kazi ya mziki ni kuburudisha tu? Unaelimisha, unahamasisha, unaongeza hamasa na kupitia mziki huo huo kitu kinachoitwa social action kinaweza tokea. Ndio maana itabidi ufanye usajili, uwe na katiba, na mengineyo. Hata hivyo, shughuli yeyote inayochukua muda wako na nguvu kazi ni project (Mradi) tayari. Kwahiyo dhamira yako hiyo ni nzuri endapo utaendesha mambo kitaaluma zaidi.ingekuwa nataka radio ya kibiashara inahitaji garama kubwa na kulipia mapato ila ni radio ya kijamii sana sana mziki ila ya dini alfu pia ndio nimeomba ushauri sijaamua kurusha matangazo
Asante mkuu kwa wito
HahahahaKama blog tu wanataka chao ndio iwe redio urushe free?
Mkuu m5 ni kutoka chumbani kwenda sebuleniUmbali wa mita 5 saaa c n hapo hapo
Tu mtaan kwenu
Kwa swala la radio, kuna vigezo vyao ukienda kusajiri wanakupa form za kujaza, kuna vijedwali vyako vya kujaza kutokana na majukunu ya radio unayotaka kuanzisha, gharama hazikwepeki kwasababu ni sheria zilizowekwa, wala sio uonevu, timiza vigezo vyako uanzishe radio yako uruke hewaniwadau wa jf habari nina transmitter ya fm radio wat 500 ila nahitaji kufungua radio station ya umbali kias tu,angalau ifikie ata mitaa 5 pekee ila sifahamu kama tcra watakubali maana ela ya kulipia trca sina wala gharama za serikali pia sina ela wadau naomba mnishauri nifanye vp ili niweze fungua radio ? na pia ni umbali upi trca wanaukubali ambao sitaulipia na radio ni kwaajili ya mziki tu msaada wadau kwenye ili
Hahaha, basi yuko sahihi ajipigie tu muziki ,ila asibughi majirani ,hii haitaji tcra ( jokes)Mkuu m5 ni kutoka chumbani kwenda sebuleni
Kkwani kashafanikiwa kufungua redio? Na inaitwaje?Kumbe umeanza mbali nimeamini Hakuna Jambo rais HV hv
Kkwani kashafanikiwa kufungua redio? Na inaitwaje?