Kufungua Medical store au Phamacy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufungua Medical store au Phamacy

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by 123, Nov 28, 2011.

 1. 1

  123 Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wadau nataka kufungua medical store au phamacy hapa Dar ila sehemu ndio inanipa shida kwasababu wataalamu wanasema natakiwa nipate sehemu ya watu wengi.Nawaomba kwa wale wenyewe kujua sehemu mzuri please naomba mnifahamishe au mtu mwenye ushauri naomba pia.
   
Loading...