AK-47 JF-Expert Member Joined Nov 12, 2009 Posts 1,373 Reaction score 202 Aug 14, 2012 #1 Jamani nina simu Ideos imebanwa na kampuni ya simu nataka ifunguliwe ili niweze kutumia line ya kampuni yoyote. Naomba msaada kwa anayejua mahala nitakapopata mtaalamu wa kuifungua itumie line yoyote. Natanguliza shukrani za dhati.
Jamani nina simu Ideos imebanwa na kampuni ya simu nataka ifunguliwe ili niweze kutumia line ya kampuni yoyote. Naomba msaada kwa anayejua mahala nitakapopata mtaalamu wa kuifungua itumie line yoyote. Natanguliza shukrani za dhati.