Kufungua email account kwenye simu

Kufungua email account kwenye simu

peter babagody

Senior Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
103
Reaction score
44
Naombeni msaada wenu namna ya kufungua email kwenye simu yangu, najua hapa kunawataalamu ndio maana nimeona nisikae na tatizo langu moyoni, ni hayo tu jamani.
 
email gan? fata ushauri wa mkuu hapo juu fanya kugoogle kama either ni yahoo au gmail etc. then itakuja kuwa usign up au log in katika email husika kwa kutumia simu ila iwe na uwezo mkubwa tu wa internet access
 
Nimejaribu kugoogle nikashindwa kufungua Yoyote Kati ya hizo
 
Back
Top Bottom