fastum
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 337
- 220
Kwanza napenda kuwasalimia wote humu na kuwatakia kazi njema.
Napenda kuelimishwa na kupatiwa details za kutosha na utaratibu pamoja na mahitaji hadi gharama na siku ngapi inaweza kunichukua hadi kuweza kufungua community based organization.pia na kama kuna mtu anejua jinsi au huwa anawasaidia watu kufungua NGO hapa Tanzania aweke details zake humu pamoja na gharama zote hadi kupata cheti mkononi.
PLEASE PRIVATE MESSAGE SIZITAKI.