Kufungiwa Mwanahalisi: Kwa msimamo huu hawa tuwaeleweje pamoja na kujifanya wasomi?

Hivi, msomi ni nani? Yule aliyemaliza chuo kikuu au yule anayeendelea kusoma? Vipi ukiDISCO, unakuwa msomi au la?
 
[h=3] Nimepokea ujumbe huo kwenye sanduku langu. Baada ya kuusoma nimestuka na kuona ni vizuri kushare na wenzangu hasa wana jamvi. TanzaniaJournalists’ Association[/h]
(TAJA)
[h=5] Malanga St. - Kinondoni, Duka la Habari House No. 102, Opposite OilCom Station[/h]

THE PRESIDENT,
P.O.BOX 7447,
Dar es Salaam.
Tel/Fax 255-222 760737
[h=4] Mob:+255-764450000/719-222448[/h] +255-786450000.
Email: tajahabari66@gmail.com
KWA WAHARIRI

WA
2 Augosti 2012
VYOMBO VYA HABARIMAKINI

YAH: TAMKO LA KITAALUMA KWA UMMA KUHUSU SERIKALI KULIFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI KWA MUDAUSIOJULIKANA:

NB: Kuandika habari bila ATTRIBUTION(kumtaja source WAKO) na kushindwa ku-BALANCE Habari yako kwa MTUHUMIWA katika HABARIunayoandika niukandamizaji wa uhuru wa vyombo vya habari na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu –MCQUAIL (2005).

Kwa sababu hiyo yaMAADILI ya fani yetu,TAJA inalaani kwa nguvu zake zote gazeti laMWANAHALISI na SERIKALI kwa kuwa VIRANJAwa KUBINYA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI kwani hawa wawili ( MWANAHALISI NASERIKALI) ni MAADUI HATARI wa maendeleoya TASNIA YA HABARI na HADHI YAWaandishi wa Habari wasomi na makini hapaNchini.

Aidha tunashangazwasana na wale wote wanaoilaumu serikali kwa madai ya kwamba inakandamiza uhuruwa habari na kutetea Gazeti la mwanahalisi eti wanadai linatumia uhuru wahabari kama unavyoelezwa katika katiba. TAJA tunaelewa watu hao wote wakiwemowanaodaiwa kuwa NGULI wa tasnia ya habari ni watu ambao elimu yao ya TAALIMU YAHABARI INA MASHAKA au ni ndogo kiasi kwamba hawaelewi maana ya uhuru wa vyombovya habari kitaaluma duniani kote MAANA YAKE.

Duniani kote wasomiwa tasnia ya habari wanajua vigezo vya kuwepo uhuru wa habari misingi yakemikuu (1) Uandishi wa habari kwa kuzingatia misingi ya fani ya uandishi wahabari (Journalistic genre ethics) ambapo habari yoyote ni lazima iwe naATTRIBUTION na pili BALANCE isipokuwa inaruhusiwa kuandika bila kutaja jinakama kwa kufanya hivyo utahatarisha usalama wa mtoa habari (source). MWANAHALISIni MAHIRI katika kuandika habari za upande mmoja (UNBALANCED STORIES) na zinazohusutukio moja tu. MWANAHALISI kwakutozingatia maadili ya uandishi wa habari ni mvunjifu mkubwa wa uhuru wahabari hapa nchini na anadhalilisha fani ya UANDISHI WA HABARI NA WANAHABARIWENGINE MAHIRI (WATCHDOGS). TAJA Tuna wasiwasi na wale wote wanaounga mkonouandishi wa habari za MWANAHALISI zisizoattribution NA Balance. MWANAHALISI ukiwapa ushauri wa kitaaluma wepesikuitikia lakini HAWATEKELEZI- Rais waTAJA amewahi kuzungumza na Mhariri, ameishia kuitikia kimaelewano lakini hakunahatua aliyoichukua “kitaaluma” katika ku-BALANCE habari za upande mmoja wanazolalamikiwa.,
Hivyo TAJA hatutafunimaneno na wala hatuoni haya kwamba wao ni WADHALILISHAJI WAKUBWA wa waandishi wa habari makini hapa Nchini nani WAVUNJAJI WAKUBWA WA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI HAPA TANZANIA.Wanaowateteayawezekana wana AGENDA zao nyingine sioukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari.

UHURU WA VYOMBO VYAHABARI si ufunguo wa kuandika habari zisizozingatia maadili na weledi wauandishi wa habari. TAJA inawaomba wale wote wanaotoa mchango kuhusu jambo hiliwajiridhishe kwanza na kuijua fani hii wasivyamie tu kama wanavyofanya nduguzetu wa fani ya sheria eti wapeleke kesimahakamani(mbona waao mawakili wakivunja maadili ya uwakili hawawapelekiMahakamani ila wanawafukuza?),sisi tunawauliza kesi gani wakati MWANAHALISI habarizake hazizingatii maadili GAZETI hili pia ni mkosaji kama serikali yenye sheriaKANDAMIZI. Hawa wawili hawana tofauti wanalaumiana kwa makosa ambayo wote wanayafanya-wakandamizaji wa uhuruwa habari Tanzania kila mmoja kwa aina yake-hakuna wa KUTETEWA katika MGOGOROHUU.

SERIKALI nayoTUNAILAANI kwa nguvu zetu zote, kwaniyenyewe inaongoza kwa ubinyaji UHURU WA HABARI hapa Nchini, ingawa washabiki waMWANAHALISI wanalalamikia sheria moja tu ya MAGAZETI YA MWAKA 1976 NO 3. Ukwelini kwamba hiyo inaoonyesha ufinyu wao katika kuelewa ukandamizaji wa Serikalikwa Uhuru wa Habari. HAPA NCHINI.

SERIKALI YA TANZANIAni kandamizi sana ina zaidi ya sheria 20 ZINAZOBINYA UHURU WA HABARI NCHIN I, aidha hata ukiifuta hiyo sheria yamwaka 1976 ukaacha mlolongo nilioutajabado hujatatua tatizo la ukosefu wa uhuru wa vyombo vya habari Nchini. UTATUZIni kuandikwa sheria mpya ya upatikanaji habari na kufuta zote kandamizi zilizopo,lakiniSIO KUTETEA UANDISHI HOLELA WA AINA YA MWANAHALISI USIOZINGATIA JOURNALISTICGENRE ETHICS.

TAJA tunasemawasiokuwa wasomi katika fani hii wasidandie HOJA HII NYETI yahitaji wasomi wafani hii ambao kwa sasa tupo na tumemaliza Vyuo vikuu sio mazoea eti mtu akiwamwandishi wa miaka mingi NGULI –mawazo hayo yamepitwa na wakati-TUSOME TUELEWEVYEMA MAANA YA UHURU WA HABARI ILI TUELEWEKE DUNIANI SIO KUTETEA WAVUNJAMAADILI YA FANI YETU-“TUNAJIAIBISHA WENYEWE MBELE YA WENYE WELEDI KAMA VILEJIRANI ZETU KENYA”

TAJA TUNAWAOMBASERIKALI AMBAO NI WAONGOZAJI KATIKAUBINYAJI WA UHURU WA HABARI WAFANYE HIMA KUPITISHA SHERIA YA UHURU WA HABARI NASHERIA HIYO LAZIMA IWE NA KIPENGELE CHA KUFUNGIA CHOMBO CHOCHOTE CHA HABARIKISICHOZINGATIA MAADILI YA UA NDISHI WA HABARI

Tunazungumza kisomina tunaomba tueleweke,TAJA haiungi mkono sheria ya magazeti ya mwaka1976,lakini kitendo cha kufungia gazeti lolote lisilozingatia maadili yauandishi wa habari hata baada ya kupewaushauri TAJA TUNAKIUNGA MKONO ili kuwekaheshima ya fani yetu,isiendelee kuchezewa kama kichwa cha MWENDAWAZIMU.

1). Tunaomba serikaliIUNDE jopo la wasomi wa fani ya habari kutoka CHUO Kikuu HURIA, UDSM, SAUT na TUMAINIIringa tukae na hao wanaotetea MWANAHALISI NA kulaumu SERIKALI peke yake iliUMMA ueleweshwe jambo hili linavyopotoshwa na wanaojiita NGULI wa habari,matatizo ya tasnia ya Habari Nchini imevamiwa na watu wasio Wataalamu wa Fanihii na wengine hawana hata Diploma tu za fani ya Uandishi wa habari auMawasiliano ya UMMA lakini wamejipa majina ya NGULI (expert- kawaida mtu expertanategemewa kuwa angalau na M.A kama si PhD na kadhalika kwani tulio nao hawanahata Diploma zinazotambulika katika fani),ndio wanatupa taabu katikakuharibuTasnia hii Nchini kwa kujifanya kwamba wanafahamu sana UHURU WA VYOMBOVYA HABARI,KUMBE WANACHOFAHAMU NI KINYUME.

2) Tunaomba wale wotewanaojitokeza na kujitambulisha kuifahamu fani ya habari na dhana ya uhuru wahabari wasiwe wanazungumza kiholela hii ni fani yenye wasomi, hivyo piawatutajie C.V zao ili tujiridhishe na maoni yao tujue ya kitaalamu au ya ainaya kijiweni?

“MWANAHABARI MSOMIHAWEZI HATA KIDOGO KUTETEA “UNETHICAL WRITTEN NEWS PAPER”

TAJA TUNARUDIA KULAANI WOTE, MWANAHALISI NA SERIKALI KWA MATENDO YAO YA UKANDAMIZAJI MKUBWA WAUHURU WA KUPATA HABARI NA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA.

NI MATEGEMEO YA TAJA KWAMBA,MAADUI HAWAWAWILI WALIOJITAMB ULISHA WAZI WAZI WATAJIREKEBISHA KWA SERIKALI KUPELEKA SHERIAYA UHURU WA VYOMBO YA HABARI BUNGENI NA KUANCHANA NA AHADI ZISIZOTEKELEZEKA(HEWA)KILA MWAKA NA MWANAHALISI NAO WAJIENDELEZE KITAALUMA ILI WAJUE DUNIANI HAKUNAPOPOTE KWENYE UHURU WA HABARI USIO MIPAKA.
MWISHO. TAJA tunampongeza Mhe. Saed Kubenea Mkurugenzi waMWANAHALISI, kwa kuongeza elimu yake Nje na kurudi nchini.Tunamshauri atumie elimu hiyoaliyoipata kuweka heshima ya TASNIA yetu badala ya kuidhalilisha kwa kuandikahabari zisizo, ATTRIBUTIO, BALANCE,TRUTH –Sisi tunadhani anaweza kulisaidia gazeti lake ambalo KITAALUMA kwa sasa linajitambilisha kwa pwaya halizingatiiMAADILI .
(YEYOTE YULE MWENYEHOJA NASI TUNAYOSEMA AITE JOPO TUYACHAMBUE KISOMI KWA FAIDA YA WATANZANIA)

HAMZA KONDO

RAIS CHAMA CHAWAANDISHI WA HABARI TANZANIA (TAJA)

MWANACHUO WA SHAHADAYA UZAMIVU MAWASILIANO YA UMMA(PhD inMass Communication) OUT.-mwaka wa tatu.
Mob: 0786450000.

CC-Mitandao ya Jamiina vyuo vikuu.

wewe ni mwanafunzi , ukifeli je utakuwa mwanahabari mpaka ukosoe wanahabari?
 
Yaani amechanganya uppercase na lowercase vibaya mpaka inaumiza macho kuisoma! Safari bado ndefu sana.
 
Anatafuta kazi huyu Idara ya Habari Maelezo kwa kujikomba. Tamko gani la kinafiki hili.
 
nimeshindwa kumwelewa mwanahabari alitaka kuwasilisha hoja ama hisia zake,kwakuwa ingekuwa vema kama angetueleza taja walikaa lini,wapi na agenda za kikao zilikuwa ni zipi,mambo gani walikubaliana ktk misingi ipi.mwandishi ameelezea juu ya taaluma yake pasi kuwa na aibu maana yeye pia ameonesha udhaifu mkubwa ktk tasnia ya habari,kama mwenyekiti au rais wa taja uelewa ndo huu napasi mashaka members wakoje,hivi phd za miaka ya leo zinapatikana kwa namna gani?anyways gt mtanisaidia coz bado nipo ktk malezi yenu.
 
Mhe. Rais wa TAJA ulipewa ahadi gani baada ya kuandika taarifa hii!? Wengi wameshangaa elimu yako ila mi ninashangaa uwezo wako wa fikra na kupambanua. ni haki yako kuhoji utendaji wa mahakama lakini kuidharau unakosea Mhe. suala la kujiita msomi na kudharau uwezo wa watu kisa CV naomba tuanze na yako. Kama nia yako ni njema, jiulize umemsaidia vipi mtanzania kwa kuinyesha kutokujali maini yake na kumuona mbumbumbu mzungu wa reli? Sijona thamani yako kwa taifa hili
 
Kweli kusoma siyo kuelimika,huyu asingesoma lazima angekuwa mpiga tunguli.maana kama amesoma
halafu mawazo yake ni kiduchu hivi,asingesoma!!. Lakini any way RUSHWA hupofusha macho ya mtu
asione ukweli halisi
 
[h=2]Hamza Kondo's Overview[/h] Current
  • ASSISTANT LECTURER- at OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA
Connections 1 connection
[h=2]Hamza Kondo's Experience[/h]
[h=3]ASSISTANT LECTURER-[/h] [h=4] OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA [/h]

Currently holds this position

[h=2]Profile Information[/h]
What is the name of your company or organisation?SENA NEWS ( T ) LTD What is your position in your company or organisation?EDITOR IN CHIEF AND MANAGING DIRECTOR What does your company of organisation do?We sale news,features,caption stories,documentaries,broadcast programes for Radio and TV ,we prepare press conferences, we are an advertising agent s and media consultants. In which African countries does your company or organisation operate?Tanzania,but am searching for more customers in E.A.

Department of

Tourism and Hospitality- Head Dr Shogo Mlozi

Jounalism and Mass media Communication- Acting Head Mr. Hamza Kondo History, Philosophy and Religios Studies - Head Dr S. Waane

Sociology and Social work- Head - Dr. Fauzia Mohamed
Linguistic and Literary Studies Head - Dr. Lipembe
Political Science and Public Administration Head- Mr. Salim Hamad
 
dah ukweli kazi tunayo, yaani wewe ni raisi wa taja, naona kama umelewa madaraka, elimu yako ya darasani, na ukada wa chama flani hapa tanzania, nina uzoefu kidogo ktk mambo yanayohusu jamii, lkn sijui kama tukifanya kazi kwa cv na kutambiana kwa elimu kutakuwa na clear roadmap, ktk teknohama kuna jamaa aloleta mapinduzi ya dunia nzima anaitwa Steve Job lkn sijui kama alikuwa na masters au PhD km yako, wala sitaki kuamini kama Indira Gandhi na Nelson Mandela walisoma Havard au Edinburgh, pia siju kama Martin Luther King walipata wapi Phd zao, sasa kama ni kutegeme cv kama zako sina hakika kama safari haitakuwa na dhoruba, jaribu kufikiri speed ya maendeleo ya tanzania na idadi ya watu wenye cv kama unavyodai halafu utueleze kwani hakuna urari wa maendeleo na vyeti vilivyomo, mwisho ningependa kuona TAJA kama taasisi ikitaja mambo haya katika kikao cha dharura, au annual general assembly, sasa sijui kama kuna baraka za bodi katika hili
 
lakini ujumbe umefika mkuuu
Sina tatizo na ujumbe, ishu ni namna alivyoandika. Shahada ya uzamilim na uzamivu ni za kuandika. Yeye kama mwanafunzi wa uzamivu alipaswa kujipambanua. Kumbuka, ukiandika vibaya unamfanya msomaji aanze kutilia shaka ujumbe unaotolewa. Hata hivyo, alikuwa anajaribu kuibua hoja ya msingi sana.
 
Kwa wafuatiliaji wa mambo na watu makini hupati shida kujua lengo la sadist kubenea wafadhili wake.walichokipata ni haki yao ili wajifunze na kujirekebisha.asiefunzwa na ***** hufunzwa na dunia

Mahakama ya mbuzi
 
Duh! Nasubiria nilione hilo gazeti lako! Na huo huo uchapaji wako!!!! Eti unajigamba kabisa msomi mwenye PHD (PEOPLE HEAD DIMAGED)
Na wewe kajiongezee elimu ya typist.
 
Kiukweli tukiacha ushabiki wa kisiasa, Mwanahalisi ilishafika mahali ikawa kishabiki zaidi. Najua wengi mtakataa ukweli huu lakini Kubenea alilewa masifa ingawa ni kweli hata mimi naunga mkono kuwa uhuru wa habari hapa bongo bado sana. Kubenea anajisikia raha sana kwenye gazeti lake pakisomeka usalama wa taifa, kikwete, polisi, ccm, lowassa, rostam n.k hata kama hakuna haja ya kutaja watu hao.

Kila gazeti, I mean kila mhariri wa magazeti yuko biased kwa njia moja au nyingine mkuu,its only human nature,na haizuiliki...suala la msingi hapa ni kuwa kubenea ameenda that extra mile,na kuchoma sindano kwenye donda bichi...kama alichoandika kuhusu akina ramadhani na wahuni wenzie wa TISS waliomteka ulimboka ni uongo kwanini wasimpeleke mahakamani kwa kuipotosha jamii?manake kufungia gazeti si solution tosha...mi nasema hata mfanye kitu gani..UJUMBE ULISHAFIKA!!!
 
umeeleweka,ila wewe ni mwandishi wa gazeti gani hapa nchini ?au makala zako ili niweze kukufatilia vizuri na shaada ya uzamivu wako na uandishi unaoufanya au utakao kuja kuufanya

unatuboa kwa kukopi habari yooooooooooooote wakati unajibu kipengele kidogo tu.otherwise sote tumemuelewa vyema na hoja zake ni nzuri.
 
Shida hapa ni mpangilio wa lugha yake vinasaliti hiyo elimu anayodai anayo. Hata hivyo ujumbe wake ni murua kwa wanaofahamu. Tunawasikiliza weledi watuambie wana maoni gani.
 
Nimepokea ujumbe huo kwenye sanduku langu. Baada ya kuusoma nimestuka na kuona ni vizuri kushare na wenzangu hasa wana jamvi. TanzaniaJournalists’ Association

(TAJA)
Malanga St. - Kinondoni, Duka la Habari House No. 102, Opposite OilCom Station

THE PRESIDENT,
P.O.BOX 7447,
Dar es Salaam.
Tel/Fax 255-222 760737
Mob:+255-764450000/719-222448

+255-786450000.
Email: tajahabari66@gmail.com
KWA WAHARIRI

WA
2 Augosti 2012
VYOMBO VYA HABARIMAKINI

YAH: TAMKO LA KITAALUMA KWA UMMA KUHUSU SERIKALI KULIFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI KWA MUDAUSIOJULIKANA:

NB: Kuandika habari bila ATTRIBUTION(kumtaja source WAKO) na kushindwa ku-BALANCE Habari yako kwa MTUHUMIWA katika HABARIunayoandika niukandamizaji wa uhuru wa vyombo vya habari na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu –MCQUAIL (2005).

Kwa sababu hiyo yaMAADILI ya fani yetu,TAJA inalaani kwa nguvu zake zote gazeti laMWANAHALISI na SERIKALI kwa kuwa VIRANJAwa KUBINYA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI kwani hawa wawili ( MWANAHALISI NASERIKALI) ni MAADUI HATARI wa maendeleoya TASNIA YA HABARI na HADHI YAWaandishi wa Habari wasomi na makini hapaNchini.

Aidha tunashangazwasana na wale wote wanaoilaumu serikali kwa madai ya kwamba inakandamiza uhuruwa habari na kutetea Gazeti la mwanahalisi eti wanadai linatumia uhuru wahabari kama unavyoelezwa katika katiba. TAJA tunaelewa watu hao wote wakiwemowanaodaiwa kuwa NGULI wa tasnia ya habari ni watu ambao elimu yao ya TAALIMU YAHABARI INA MASHAKA au ni ndogo kiasi kwamba hawaelewi maana ya uhuru wa vyombovya habari kitaaluma duniani kote MAANA YAKE.

Duniani kote wasomiwa tasnia ya habari wanajua vigezo vya kuwepo uhuru wa habari misingi yakemikuu (1) Uandishi wa habari kwa kuzingatia misingi ya fani ya uandishi wahabari (Journalistic genre ethics) ambapo habari yoyote ni lazima iwe naATTRIBUTION na pili BALANCE isipokuwa inaruhusiwa kuandika bila kutaja jinakama kwa kufanya hivyo utahatarisha usalama wa mtoa habari (source). MWANAHALISIni MAHIRI katika kuandika habari za upande mmoja (UNBALANCED STORIES) na zinazohusutukio moja tu. MWANAHALISI kwakutozingatia maadili ya uandishi wa habari ni mvunjifu mkubwa wa uhuru wahabari hapa nchini na anadhalilisha fani ya UANDISHI WA HABARI NA WANAHABARIWENGINE MAHIRI (WATCHDOGS). TAJA Tuna wasiwasi na wale wote wanaounga mkonouandishi wa habari za MWANAHALISI zisizoattribution NA Balance. MWANAHALISI ukiwapa ushauri wa kitaaluma wepesikuitikia lakini HAWATEKELEZI- Rais waTAJA amewahi kuzungumza na Mhariri, ameishia kuitikia kimaelewano lakini hakunahatua aliyoichukua “kitaaluma” katika ku-BALANCE habari za upande mmoja wanazolalamikiwa.,
Hivyo TAJA hatutafunimaneno na wala hatuoni haya kwamba wao ni WADHALILISHAJI WAKUBWA wa waandishi wa habari makini hapa Nchini nani WAVUNJAJI WAKUBWA WA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI HAPA TANZANIA.Wanaowateteayawezekana wana AGENDA zao nyingine sioukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari.

UHURU WA VYOMBO VYAHABARI si ufunguo wa kuandika habari zisizozingatia maadili na weledi wauandishi wa habari. TAJA inawaomba wale wote wanaotoa mchango kuhusu jambo hiliwajiridhishe kwanza na kuijua fani hii wasivyamie tu kama wanavyofanya nduguzetu wa fani ya sheria eti wapeleke kesimahakamani(mbona waao mawakili wakivunja maadili ya uwakili hawawapelekiMahakamani ila wanawafukuza?),sisi tunawauliza kesi gani wakati MWANAHALISI habarizake hazizingatii maadili GAZETI hili pia ni mkosaji kama serikali yenye sheriaKANDAMIZI. Hawa wawili hawana tofauti wanalaumiana kwa makosa ambayo wote wanayafanya-wakandamizaji wa uhuruwa habari Tanzania kila mmoja kwa aina yake-hakuna wa KUTETEWA katika MGOGOROHUU.

SERIKALI nayoTUNAILAANI kwa nguvu zetu zote, kwaniyenyewe inaongoza kwa ubinyaji UHURU WA HABARI hapa Nchini, ingawa washabiki waMWANAHALISI wanalalamikia sheria moja tu ya MAGAZETI YA MWAKA 1976 NO 3. Ukwelini kwamba hiyo inaoonyesha ufinyu wao katika kuelewa ukandamizaji wa Serikalikwa Uhuru wa Habari. HAPA NCHINI.

SERIKALI YA TANZANIAni kandamizi sana ina zaidi ya sheria 20 ZINAZOBINYA UHURU WA HABARI NCHIN I, aidha hata ukiifuta hiyo sheria yamwaka 1976 ukaacha mlolongo nilioutajabado hujatatua tatizo la ukosefu wa uhuru wa vyombo vya habari Nchini. UTATUZIni kuandikwa sheria mpya ya upatikanaji habari na kufuta zote kandamizi zilizopo,lakiniSIO KUTETEA UANDISHI HOLELA WA AINA YA MWANAHALISI USIOZINGATIA JOURNALISTICGENRE ETHICS.

TAJA tunasemawasiokuwa wasomi katika fani hii wasidandie HOJA HII NYETI yahitaji wasomi wafani hii ambao kwa sasa tupo na tumemaliza Vyuo vikuu sio mazoea eti mtu akiwamwandishi wa miaka mingi NGULI –mawazo hayo yamepitwa na wakati-TUSOME TUELEWEVYEMA MAANA YA UHURU WA HABARI ILI TUELEWEKE DUNIANI SIO KUTETEA WAVUNJAMAADILI YA FANI YETU-“TUNAJIAIBISHA WENYEWE MBELE YA WENYE WELEDI KAMA VILEJIRANI ZETU KENYA”

TAJA TUNAWAOMBASERIKALI AMBAO NI WAONGOZAJI KATIKAUBINYAJI WA UHURU WA HABARI WAFANYE HIMA KUPITISHA SHERIA YA UHURU WA HABARI NASHERIA HIYO LAZIMA IWE NA KIPENGELE CHA KUFUNGIA CHOMBO CHOCHOTE CHA HABARIKISICHOZINGATIA MAADILI YA UA NDISHI WA HABARI

Tunazungumza kisomina tunaomba tueleweke,TAJA haiungi mkono sheria ya magazeti ya mwaka1976,lakini kitendo cha kufungia gazeti lolote lisilozingatia maadili yauandishi wa habari hata baada ya kupewaushauri TAJA TUNAKIUNGA MKONO ili kuwekaheshima ya fani yetu,isiendelee kuchezewa kama kichwa cha MWENDAWAZIMU.

1). Tunaomba serikaliIUNDE jopo la wasomi wa fani ya habari kutoka CHUO Kikuu HURIA, UDSM, SAUT na TUMAINIIringa tukae na hao wanaotetea MWANAHALISI NA kulaumu SERIKALI peke yake iliUMMA ueleweshwe jambo hili linavyopotoshwa na wanaojiita NGULI wa habari,matatizo ya tasnia ya Habari Nchini imevamiwa na watu wasio Wataalamu wa Fanihii na wengine hawana hata Diploma tu za fani ya Uandishi wa habari auMawasiliano ya UMMA lakini wamejipa majina ya NGULI (expert- kawaida mtu expertanategemewa kuwa angalau na M.A kama si PhD na kadhalika kwani tulio nao hawanahata Diploma zinazotambulika katika fani),ndio wanatupa taabu katikakuharibuTasnia hii Nchini kwa kujifanya kwamba wanafahamu sana UHURU WA VYOMBOVYA HABARI,KUMBE WANACHOFAHAMU NI KINYUME.

2) Tunaomba wale wotewanaojitokeza na kujitambulisha kuifahamu fani ya habari na dhana ya uhuru wahabari wasiwe wanazungumza kiholela hii ni fani yenye wasomi, hivyo piawatutajie C.V zao ili tujiridhishe na maoni yao tujue ya kitaalamu au ya ainaya kijiweni?

“MWANAHABARI MSOMIHAWEZI HATA KIDOGO KUTETEA “UNETHICAL WRITTEN NEWS PAPER”

TAJA TUNARUDIA KULAANI WOTE, MWANAHALISI NA SERIKALI KWA MATENDO YAO YA UKANDAMIZAJI MKUBWA WAUHURU WA KUPATA HABARI NA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA.

NI MATEGEMEO YA TAJA KWAMBA,MAADUI HAWAWAWILI WALIOJITAMB ULISHA WAZI WAZI WATAJIREKEBISHA KWA SERIKALI KUPELEKA SHERIAYA UHURU WA VYOMBO YA HABARI BUNGENI NA KUANCHANA NA AHADI ZISIZOTEKELEZEKA(HEWA)KILA MWAKA NA MWANAHALISI NAO WAJIENDELEZE KITAALUMA ILI WAJUE DUNIANI HAKUNAPOPOTE KWENYE UHURU WA HABARI USIO MIPAKA.
MWISHO. TAJA tunampongeza Mhe. Saed Kubenea Mkurugenzi waMWANAHALISI, kwa kuongeza elimu yake Nje na kurudi nchini.Tunamshauri atumie elimu hiyoaliyoipata kuweka heshima ya TASNIA yetu badala ya kuidhalilisha kwa kuandikahabari zisizo, ATTRIBUTIO, BALANCE,TRUTH –Sisi tunadhani anaweza kulisaidia gazeti lake ambalo KITAALUMA kwa sasa linajitambilisha kwa pwaya halizingatiiMAADILI .
(YEYOTE YULE MWENYEHOJA NASI TUNAYOSEMA AITE JOPO TUYACHAMBUE KISOMI KWA FAIDA YA WATANZANIA)

HAMZA KONDO

RAIS CHAMA CHAWAANDISHI WA HABARI TANZANIA (TAJA)

MWANACHUO WA SHAHADAYA UZAMIVU MAWASILIANO YA UMMA(PhD inMass Communication) OUT.-mwaka wa tatu.
Mob: 0786450000.

CC-Mitandao ya Jamiina vyuo vikuu.
Hizo ndizo PH DADA za kisiku hizi bana!! You have to be a boot licker to survive!! Shame on the structures and systems grooming such @@@*** in my country.
 
umeeleweka,ila wewe ni mwandishi wa gazeti gani hapa nchini ?au makala zako ili niweze kukufatilia vizuri na shaada ya uzamivu wako na uandishi unaoufanya au utakao kuja kuufanya
msomi hajui hata kile anachotaka kutueleza, ni kama vita ya kibiashara ili kuweka bidhaa sokoni na kuua soko la mwingine. sisi watu wakawaida hatujali hayo mambo yenu ya kisomo lakini ni kwamba tunapo soma gazeti fulani linakuwa limekidhi kiu yetu? au tukimaliza kulisoma tuna kuwa na maswali mapya? magazeti mengi haya tuletee habari yana fungua mjadala tofauti na gazeti la mwana halisi Bravo mwanahalisi
 
Kama usomi wenyewe ni huo nashukuru Mungu mie cikusoma kabisa.. Maana mie kutokusoma kwangu kumenisaidia kujua haki yangu (hata kama inaweza kufifishwa) lakini mahali pekee inapopatikana ni mahakamani.. Kama mtu ameandikwa vbaya na hajafanyiwa hiyo sijui "balansingi" aende mahakamani..
 
TAJA. uhuru wa kupata habari unatakiwa uwe mpana kiasi cha kuvuka mipaka ya TAJA, kama ninayo habari ambayo kimsingi jamii inanyimwa kuijua nikiitoa kwa jamii pasipo kubalance, kama ni wewe TAJA au mwingine unaweza kuibalance kwa kuleta habari mbadala kwenye gazeti langu la si UHUNI wa kulifungia gazeti, ulitaka mwanahalisi waandika source ya yule aliyewapa mawasiliano ya mafisdi wa maisha ya Dr.Ulimboka ? Hu mzima wewe,huyo ambaye simu yake na mawasiliano yake yameonyeshwa na Mwanahalisi ajitokeze aeleze kama hayo mawasiliano hayakuwa na uhusiano na watekajio bali ilikuwa ni mwaliko wa KITIMOTO kwa Dr. lakini si kulifungia gazeti.
Hakuna mwenye hati miliki ya UANDISHI wa habari,mimi sijasomea lakini kama nimekutana na wewe unatenda kinyume na wito wako mimi nikipata nafasi ya kukwandika nakuandika tu au nakuleta hapa JF kama unao utetezi wa yale niliyoyaandika au unafikiri umeonewa fuata taratibu za kulalamika,
Habari za EPA kuna source ilitajwa ? Richomd zilikuwa balance au Rada ilikuwa balanced au mmeona hii tu ?
Uhurui wa habari usiingiliwe na wanyama waitwao TAJA au SERIKALI,ni uhuru kwa mtu mmoja mmoja au vikundi hata taifa kwa ujumla,kwa hiyo hatuhitaji chombo ambacho kitatumika kuuminya kwa kutumia maneno yasiyo na maana maalum yanayotegemea matukio kama MAADILI,huwezi kuwa na tafsiri mwafaka ya hayo yaitwayo maadali,kwa maana hiyo hata uitwao uandishi wa kufuata maadili ni wa kufikirika zaidi mpaka pale yaitwayo maadili katika ujumla wake yapambanuliwe ili yasimame yaonwe na kila mtu, Mwandishi ni wa darasa la sita,haiwezekani kuwa ni Msomi anayeendelea na shahada ya uzamivu,labda kama anazamia kwenye UJINGA kama kuna shahada za aina hiyo kwenye chuo hicho.
 
Back
Top Bottom