Kufungiwa Mwanahalisi: Kwa msimamo huu hawa tuwaeleweje pamoja na kujifanya wasomi?

Wasomi wengi wamekariri.Pia shida ya wasomi wengi ni upeo wa kufikiria.Wanawaza around their feet
 
Hapa, tatizo la huyu Hamza Kondo (Rais wa TAJA) ni ama unafiki unaokinzani na kile kilicho ndani ya moyo wake au u-fake wa PhD yake unaopaliliwa na majigambo ya kiweledi yasiyo na mantiki. Yaani inasikitisha na kutia huruma kuona PhD seeker wa OUT hajui kweli hata ku-observe panctuation!!!!!!!!, mimi sijui hata hiyo dissertations au thesis yake ataiandikaje kama siyo kuandikiwa na mtu. Na naomba mamlaka husika ikiwemo TCU iunde tume ambayo itachunguza kwa umakini sifa au vigezo vinavyotumiwa na OUT kumtunuku mhitimu shahada husika.
 
umeeleweka,ila wewe ni mwandishi wa gazeti gani hapa nchini ?au makala zako ili niweze kukufatilia vizuri na shaada ya uzamivu wako na uandishi unaoufanya au utakao kuja kuufanya

Duhh mwandishi wa habari asiejua kupangilia habari?anyway alichotaka kueleza kimeeleweka ila kwa shida.
 
Inabidi tutambue kuwa mwanahalisi ni gazeti la habari za kiuchunguzi na makala.msililazimishe kuwa gazeti la habari za kawaida za kila leo, magazeti ya hivyo yapo kama HABARILEO,MTANZANIA,MWANANCHI na mingine mengi.pia sjawahi kuona wamevunja maadili kila habari inayomhusu mtu huwa lazima wawasiliane nae,lakini huwa tunaona majibu yao!ingekuwa kweli ni maadili magazeti ya shigongo yangekuwa ya kwanza kufungiwa..hayo kiu,ijumaa,amani na ushenzi mwingine kukicha yanaandika habari na viambatanisho vya AIBU!!!
 
Back
Top Bottom