• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Kufungiwa account instagram

KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
1,492
Points
2,000
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
1,492 2,000
Habari ndugu zangu

hivi insta ukiwa haupost picha za hovyo wala hautukani watu yaani upo na mambo yako binafsi ni nini kinasababisha kufungiwaz kwa account?

Sababu zingine tofauti na ziwle za kuweka picha mbovu nk
 
Mr Devil

Mr Devil

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Messages
1,802
Points
2,000
Mr Devil

Mr Devil

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2019
1,802 2,000
kujiongezea followers fake (kuboost followers ) wengine wata ongezea
 
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
1,492
Points
2,000
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
1,492 2,000
Kuna mda ukikaa bila kupost au kuirun wanajua umekufa, hawakai na account za marehemu zaidi ya mwaka
account nafungua mpya kabisa tena na iunga na account yangu ya insta lakini bado tu
 
mbaga jr

mbaga jr

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2018
Messages
5,059
Points
2,000
mbaga jr

mbaga jr

JF-Expert Member
Joined May 28, 2018
5,059 2,000
japokuwa huna mbele wala nyuma lkn nasikitika kukuambia umedukuliwa
 

Forum statistics

Threads 1,406,183
Members 532,237
Posts 34,507,570
Top