Kufunga goli la kwanza kabla ya kusogelea nyavu...tatizo nini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufunga goli la kwanza kabla ya kusogelea nyavu...tatizo nini??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by YoungCorporate, Apr 30, 2010.

 1. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2010
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wadau ngoja niseme tu leo...maana wahenga walisema mficha maradhi.....yatamuumbua....Kuna ka-experience flani kanamtatiza mdau kunako malavi-davi (ashkum si matusi) ni kwamba katika maandalizi ya mtanange mdau huwa anaanza na maandalizi kama inavyoshauriwa na wataalam wa hiyo idara ya...sasa tatizo ni kwamba mdau akiwa katika romance kwa nia ya kumuandaa mpinzani wake anajikuta anafunga bao la kwanza juu kwa juu....je tatizo hapa ni nini haswa??? Mdau akishajifunga goli utata unakuwa mkubwa coz mpinzani anakuwa yupo tayari lakini mdau anakuwa doro kwa muda flani (zaidi ya 30 mins)......kuna kuwa na kitambo flani mtarimbo unakuwa doro kabla ya kurejea wima ambapo mdau ndio anaweza kuonyesha ushirikiano japo raundi moja...then doro tena...je wadau hii ni kawaida au mdau ana matatizo???
  Angalizo: Mdau bado hajaoa japo ana girl friend...
  Maoni please...
   
 2. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2010
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  KUTOKUJIAMINI TU... Au inaelekea umepania sana hiyo siku.
   
 3. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2010
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sex ending too soon is a common male problem. This can happen because the man ejaculates and get an orgasm prematurely. Then the excitement and erection ceases before the man wishes and before his woman or partner gets satisfied.

  Another thing that often happens is excessive and unpleasant feelings in the penis that kill the erection and also stops the lust to proceed.

   


  REASONS FOR UNPLEASANT FEELINGS AND PREMATURE ORGASM

  Some men are just more sensitive in the skin of the penile head than others and in some men the nerves connected to muscles and other structures in the intimate zone react more quickly that in the average man. Such hypersensitivity is often inherited.

  Lack of the neurotransmitter serotonin in the brain may cause premature orgasm. Serotonin modulates the erectile response so that it is delayed until the proper time. Such lack often causes depression and premature orgasm can be a symptom of depression.

  If a man is anxious for intimacy or fears of not being able to maintain a steady erection, a psychological defense mechanism can cause him to ejaculate prematurely. Then he has a good excuse for not being erect any longer and he avoids a prolonged intimate situation that he fears.

  Often a man ejaculates prematurely because he or his woman are stressing and speeding up the act too soon. At too speedy and intense action by the women can also be unpleasant for the man and cause the erection to go down.

  Unpleasant sensation that cause an end to the action can be caused by too much friction against the penis acting inside the vagina due to lack of lubricant fluid and sometimes the pubic hair of the woman causes unpleasant sensations.

  Sometimes the woman does the act in a way that feels very good for her but gives unwanted stimuli to the man's penis. Some women tend to adjust their position during the act or pull the man forward with her arms so that the penis presses up against the clitoris, but this will typically bend and stretch the penis very unpleasantly or give the extra stimulus needed for the man to ejaculate.

   


  HOW TO AVOID UNPLEASANT FEELINGS AND A TOO SOON ORGASM

  Avoid doing sex in a stressful way. Begin by gently caressing, kissing and fingering each other to build up your excitement. Then you enter your lover with your penis. Also after penetrating your lover, proceed in a slow and gentle way and build up the speed and intensity of your actions gradually.

  If you feel you are going to climax before you want to, it will often help to slow down the action and let the feelings and reactions settle before going on more intensely again.

  A premature orgasm can often be stopped more easily by tensing the muscles along and around your urethra and your prostate area after you have paused your actions.

  If the man signals to the woman that he is about to climax before due time, the woman can help to stop it by calming down her own actions. She can also stop the orgasm by gripping around the penis firmly just under the penile head with her thumb at the front side of the penis and the pointer finger and ring finger at the back side. She must hold the grip 10 to 20 seconds.

  Another trick the women can use is to press with all her fingers down towards the man's urethra between his scrotum and prostate area. When doing so she can feel the beginning pumping action and she presses so firmly that the pumping action and any flow of semen stops.

  Masturbating a couple of hours before sex with the partner can bring down the excitement to a level that makes it possible to keep on a long time before climax. This technique works best for younger men, while it can be difficult for elder men to get a satisfactory erection so soon after masturbation.

  The women should learn what types of pelvic postures and actions during intercourse that give good sensations for the man and what types are not felt well or lead to unwanted orgasm.

  It is necessary that both partners cooperate and talk together about doing sex the best way and about tricks and adjustments that can help both of them to have a more satisfactory sex experience and hinder unwanted happenings.

  Sensations and reactions that cause the erection to go down or a premature orgasm can sometimes be avoided by using lubricants that decrease the friction. Using a thick condom can also shield the penis from excessive friction.

  If the unpleasant sensations are caused by hair around the vaginal opening, adjusting the hair to a shorter length can help.

  On the market you can also find creams to be applied to the penis head and formulated to decrease sensations that can lead to a too early orgasm or take away unpleasant feelings.You can also find condoms with such creams at the inside.

  Some of these products are based on standard pharmaceutical analgesics as working ingredients, others are based on herbal extracts. These topical remedies sometimes also contain ingredients to stimulate the erection. A few men are however allergic against analgesic substances and have to try products with different ingredients or cannot use such creams at all.

  Antidepressant medication that increases the serotonin level in the brain may help against premature orgasm, when taken some hours before intercourse. These types of medicines should probably only be used when the sexual problems is one of more symptoms of a depression, because anti-depressant often cause bad side effects.
   
 4. mabina

  mabina JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mmmmh, hapo tunahtaji mtu mwenye elimu kidogo au deep zaidi atufafanurie, hoja ni nzuri sana na inahtaji umakin zaidi kuijibu. Mwenyeelimu yake karibu utuelimishe.
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Duu...Pole sana.
  Vijana bana... wana nguvu sana!
  Hii ni hali ya kawaida kwa vijana wengi, maana mcheche unakuwa juu sana ya kiwango.
  Jaribu kutuliza akili zako, na usichukue mtu ambae anakuwa na haraka sana kurudi kwa mamake, eg mtoto wa shule!
   
 6. T

  Tall JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.AKIKUA ATAACHA.
  2.MWAMBIE WAKATI WA MAZOEZI MAWAZO YOTE YA MECHI AYAONDOE.HUWEZI KUPIGA BAO WAKATI HUWAZII KUFUNGA.
  3.KAMA ANA ILE KTU(GOV...)AKATOE
  4.MWAMBIE MAPENZI NI KURIDHISHANA.POTELEA MBALI HATA ASIPORIDHIKA YEYE LAKINI MWANAMKE ARIDHIKE.NA MWANAMKE AKIRIDHIKA MWENYEWE ATAANZA KUPANGA MECHI ZA HAPA NA PALE ZA KIRAFIKI.HAPO TENA MIE TALL SIPO.......SAA HIZO NIPO TANDALE..KWA MTOGOLE.
  5.MASAA MACHACHE KABLA YA MECHI ASIFIKIRIE MECHI.
  6.WAKATI WA MAZOEZI,AACHE KABISA KUANGALIA VILE VIUNGO AU MAENEO YA MWANAMKE YANAYOMTIA UCHIZI.AKISHINDWA TAA IZIMWE,EEEH, KUMBE JE SASA
  ITAKUWAJE,WE UNAFUNGA GOLI KABLA YA MECHI?Naaaaaa,naaaaa.......
  7.Akiona wale jamaa wanataka kutoka,basi taratibu na kwa siri kubwa ajifinye kwenye paja kwa nguvu,weee,heeeee, wenyewe..xxxxx watarudi huko ndani.
  8.kfunga goli kabla ya mechi ni kosa kubwa sana tena ni kosa la jinai,adhabu yake....labda akina mama/dada zetu semeni apewe adhabu gani mchezaji kama huyu?
  Duuuuh mambo mengine siwezi andika hapa,siunajua tena?watoto hawajalala,ngoja walale kwanza.
   
 7. N

  Njimba Nsalilwe JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2010
  Joined: Mar 23, 2008
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dada/kaka YoungCorporate hebu jaribu kupita kwenye hii thread hapa chini uone kama unaweza kupata mawazo yaliyotolewa na wadau siku za nyuma humu ndani kufuatana na tatizo hilo:

  https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/15093-premature-ejuculation-and-erictile-disfunction.html
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  mpe pole mdau ..labda akioa hali itakuwa njema
   
 9. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 180
  Hiyo ina itwa Premature ejaculation! Sababu kubwa ya kwanini hutokea ni complex! Lakini kwa ujumla inatokana na kutokuwa na uzoefu hasa kwa teenagers wanaonza ngono! Pili ni mazoea, hujatambua kwamba unaenda kufika kilele until its too late! Pia inaweza sababishwa na mhemko mkubwa wa mapenzi.
  Lingine kubwa ni wasiwasi, hasa unapotafuta kumridhisha mwenzi wako! Wasiwasi huo hupelekea mwili kutotenda kama kama kawaida na kujikuta unafika kibo bila kutarajia

  Solution
  Try to be calm as mulch as possible
  epuka mikao inayo hamasisha zaidi
  Ongea nae! Ukiona unakaribia mawenzi weka kambi kidogo kunywa maji, buscuit nk
  shida ni kwamba watu hulifanya tendo hilo very formal utakuta mtu anafumba macho, amezima taa, mwingune hatakuangalia kunako hataki, watu wanageuka bubu kabisa! mwendo mdundo tuuuuuuu mpaka mwisho wa safari! matokeo yake ndio hayo
   
 10. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2010
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  Mdau Dr. Chapa Kiuno.. thanks kwa jibu lako ntafikisha ujumbe kwa mdau...lakini je hakuna labda approved medicine ya kusaidia maana majibu yanaonekana yamekaa ki-maneno zaidi kuliko practical solution...
   
 11. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mi na swali hivi mbona mada nyingi hapa mahusiano zinaanza kuna jamaa yangu,kuna mdau,kuna rafiki yangu kwakuwa hatujuani kwanini watu hawawi wawazi ni kukubali kuwa mimi nina tatizo hili naomba nisaidiwe.
   
 12. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...ajaribu formation nyingine, mfano goli la mwanzo ajifunge mwenyewe kwa mkono kabla hajaingia uwanjani, atapata muda wa kuhangaikia la pili!
   
 13. K

  KABAZI JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2010
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dr Chapa Kiuno umemaliza kila kitu hayo ni mjibu halisi!
   
 14. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hii kali..
   
 15. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hili bonge la shule, mamaaa atanikoma maana goli moja nitapiga baada ya masaa mawili.
   
 16. JM Aristotle

  JM Aristotle Senior Member

  #16
  May 3, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr. Chapa Kiuno amemaliza kila kitu...
   
 17. D

  Dear Member

  #17
  May 3, 2010
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  My Ex Boyfriend nilikuwa simuelewi yeye alikuwa anawahi sana kumaliza, yaani anapush fasta nahesabu kabisa mara 1,2,3,4,5 izidi zaidi 6 analala,na akilala haamki tena,mimi nikawa nafikiri labda the guy hanipendi,siku moja soma soma ya mitandao hii kutatua tatizo,nitaona ufunguzi wa tatizo langu,kuwa natakiwa kumchezea hadi a-ejaculate nje ili baadae game aliweze,sio siri,nilijaribu ilo zoezi,na kweli aka-ejaculate nje,He wenzangu sasa baada ya hivyo ndio ikawa lala salama ,jamaa alichoka alishidwa kabisa kufanya baadae alikuwa kachoka akalala siku nzima,akaniambia unajua ukinichezea mimi kama ku- masturbate inamaliza nguvu kabisa kuwa anashidwa kabisa kufanya tena,kwa kifupi nilimuona mvivu kwa maana ni kijana wa miaka 30 je akifika miaka 40 si atakuwa kama kuku akiingiza akitoa kashamaliza .na hadi nikaanza kumkwepa ku-do naye hadi tukaachana kimya kimya
  But hey sio tuliachana kwa ajiri ya ku-do tu but alikuwa navijimambo vyake vyakuudhi sana,
   
Loading...