Kufunga gari mfumo wa gesi

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
7,877
2,000
Nmesikia kuna watu wanafanya hii kitu. Naomba kufahamu faida na hasara zake kwenye gari.
 
shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,358
2,000
Ni kama yalivo mafuta tu baada ya kuweka mafuta utakuwa unajaza gesi sion kama unafaida sana hasa filling station sizan kama zipo nyingi beside gas leakage inaweza kuwa na consequence kubwa kuliko mafuta nazan jambo kubwa itakuwa ni gharama pengine hii ndio option inafanya watu waende kwa mfumo wa gesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okey.. Inasave cost kweli?
 
Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
7,877
2,000
Nasikia tu inasave japo output ya juu ya gas itakuwa pungufu kama ya kutumia mafuta, gharama kubwa itakuwa ni installation mwanzo ya vifaa, pia nasikia hawatoi mfumo wa mafuta vyite vinakuwa pamoja una switch tu utumie upi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatzo watu hawatoi ilimu.. Kusema tu inasave haitoshi yapswa kufaham faida na hasara zake
 
Kertel

JF-Expert Member
May 11, 2012
4,348
2,000
mimi naulizia kama kuna uwezekano wa kutumia hizi gas za kupikia ili kugenerate umeme kwa ajili ya mwanga nyumbani
 
The Wolf

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
8,361
2,000
mimi naulizia kama kuna uwezekano wa kutumia hizi gas za kupikia ili kugenerate umeme kwa ajili ya mwanga nyumbani

Ha ha mkuu umenifurahisha hapo itabidi nyuma ya nyumba yako uweke ni mitambo kama ya kule kinyerezi, ambayo gharama yake ungeweza kununua umeme unaokutosha wewe mpaka kizazi cha nne cha vitukuu vyako kupitia tanesco
 
Kertel

JF-Expert Member
May 11, 2012
4,348
2,000
,wataalamu wapo inawezekana kuna namna,,kama wemeweza kuendesha incubator kwa gas basi ni hili wataweza
Ha ha mkuu umenifurahisha hapo itabidi nyuma ya nyumba yako uweke ni mitambo kama ya kule kinyerezi, ambayo gharama yake ungeweza kununua umeme unaokutosha wewe mpaka kizazi cha nne cha vitukuu vyako kupitia tanesco
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
28,599
2,000
kama unataka ni afadhari ununua gari yenye huo mfumo from stock! hii ya kubadili tena na wabongo plus hili joto la dar mtakuja kulipua magari yenu, gas sio kitu cha mchezo ati ohooooo!
Sina imani pia na gas ya kuungwa hapo DIT.
 
shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,358
2,000
mimi naulizia kama kuna uwezekano wa kutumia hizi gas za kupikia ili kugenerate umeme kwa ajili ya mwanga nyumbani
mkuu kanuni ya kuzalisha umeme ni ileile tofauti yake ni njia unayotumia ukitaka gesi itumike lazima uwe na mtambo kama genereta linalotumia gesi kukuzalishia umeme.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom