Huu mfumo unaadvantage gani.. Na wanachokifanya hasa ni nn..Wanafunga Magari gas pale chuo cha DIT na wanajaza gas pale ubungo. Mengine sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Okey.. Inasave cost kweli?Ni kama yalivo mafuta tu baada ya kuweka mafuta utakuwa unajaza gesi sion kama unafaida sana hasa filling station sizan kama zipo nyingi beside gas leakage inaweza kuwa na consequence kubwa kuliko mafuta nazan jambo kubwa itakuwa ni gharama pengine hii ndio option inafanya watu waende kwa mfumo wa gesi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia tu inasave japo output ya juu ya gas itakuwa pungufu kama ya kutumia mafuta, gharama kubwa itakuwa ni installation mwanzo ya vifaa, pia nasikia hawatoi mfumo wa mafuta vyite vinakuwa pamoja una switch tu utumie upi.Okey.. Inasave cost kweli?
Tatzo watu hawatoi ilimu.. Kusema tu inasave haitoshi yapswa kufaham faida na hasara zakeNasikia tu inasave japo output ya juu ya gas itakuwa pungufu kama ya kutumia mafuta, gharama kubwa itakuwa ni installation mwanzo ya vifaa, pia nasikia hawatoi mfumo wa mafuta vyite vinakuwa pamoja una switch tu utumie upi.
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi naulizia kama kuna uwezekano wa kutumia hizi gas za kupikia ili kugenerate umeme kwa ajili ya mwanga nyumbani
Ha ha mkuu umenifurahisha hapo itabidi nyuma ya nyumba yako uweke ni mitambo kama ya kule kinyerezi, ambayo gharama yake ungeweza kununua umeme unaokutosha wewe mpaka kizazi cha nne cha vitukuu vyako kupitia tanesco
Sina imani pia na gas ya kuungwa hapo DIT.kama unataka ni afadhari ununua gari yenye huo mfumo from stock! hii ya kubadili tena na wabongo plus hili joto la dar mtakuja kulipua magari yenu, gas sio kitu cha mchezo ati ohooooo!
mkuu kanuni ya kuzalisha umeme ni ileile tofauti yake ni njia unayotumia ukitaka gesi itumike lazima uwe na mtambo kama genereta linalotumia gesi kukuzalishia umeme.mimi naulizia kama kuna uwezekano wa kutumia hizi gas za kupikia ili kugenerate umeme kwa ajili ya mwanga nyumbani