Kufumaniwa Noumaaaaa

399688_352468724835430_677876112_n.jpg

Duuuuuuh huyu mchungaji namfahamu sana na ni rafiki yangu wa karibu sana, anakanisa la nyumbani kwake pale jet lumo! Daaah nilidhani wanamsingizia lakini kwa picha hii naamini mchungaji wangu anatafuna kondoo wa bwana.
 
Pambav kabsa huyu ni mume na mke watu wengine saasa lipicha lao liko hadharani waowane kabisa maana kwenye nyumba zao kitakuwa kimenuka kwakweli
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom