Kufumaniwa Noumaaaaa

Kufumaniwa Noumaaaaa

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
399688_352468724835430_677876112_n.jpg
 
Huwa najiuliza kitu kimoja, hivi Mbuzimzee ni photographer au?? Unapata wapi hizi picha jombaa??
 
Ila ilavyoonekana, hawa hawajafumaniwa. Huwezi kufumaniwa ukawa at ease namna hiyo. Huyo mama anapata wapi ujasiri wa kumwekea mkono jamaa?? Hii inaweza kuwa bongo movie
 
Ila ilavyoonekana, hawa hawajafumaniwa. Huwezi kufumaniwa ukawa at ease namna hiyo. Huyo mama anapata wapi ujasiri wa kumwekea mkono jamaa?? Hii inaweza kuwa bongo movie

Hii kitu ni kweli hiyo picha imetolewa kwenye magazeti ya Shigongo
 
Huwa najiuliza kitu kimoja, hivi Mbuzimzee ni photographer au?? Unapata wapi hizi picha jombaa??
aritoine umeona eeeeh!mara nyingi huwa hata mimi nashindwa kuelewa kama kazi yake kusafisha picha studio au...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Wun
Hapo hamna fumanizi, jamaa anataka kuchomoka arudi nyumban wakati bibie anataka alale!
 
huyu mzee namfahamu ni wa arusha sekei na hiyo gest iko kijenge alifumaniwa na mke wa mpangaji wake,


Kama macho yangu bado yanaona sawasawa. Hyo jamaa anaitwa Milanzi na anafanyakazi TPA. au labda nimemfananisha.
 
Hizo ni Pakameusi na Pereta zinafanya usanii. Jenerali Ulimwengu angesema😛akameusi na Pereta zinafanya "upuuzi uliopangiliwa".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom