Gaspare Mbile
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 1,568
- 1,600
Pole na miangaiko wanajanvini!
Naomba kujua kuhusu kesi ya kufumaniwa na mke wa mtu, aidha kwa kujua kwamba mke wa mtu au kutojua!, je ni kosa kisheria? Inaangukia katika kosa gani la kisheria? Jinai au?, Nimekuwa nikisikia kesi nyingi za watu kufumaniwa na wake za watu kwenye jamii na pengine kufikishana polisi.Naomba nipewe dondoo ili nidhibitishe usemi wa 'Mke wa mtu sumu'.
Karibu wataalamu.