steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,502 Reaction score 13,706 Sep 7, 2021 #21 Chaliifrancisco said: Kufumaniwa noma. Mfumaniwa: Kimbiza unavyoweza nauli nitakulipa tukifika. Bodaboda: Nauli umeweka wapi? View attachment 1926321 Click to expand... Hapo boda nae anakwenda kujilia kiulainiiii
Chaliifrancisco said: Kufumaniwa noma. Mfumaniwa: Kimbiza unavyoweza nauli nitakulipa tukifika. Bodaboda: Nauli umeweka wapi? View attachment 1926321 Click to expand... Hapo boda nae anakwenda kujilia kiulainiiii
Mr Slim JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 3,085 Reaction score 6,106 Sep 7, 2021 #22 Ngunichile said: Uyo siyo wife wako tena Click to expand... Mimi nimekuelewa
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 158,508 Reaction score 776,383 Sep 9, 2021 #23 Hiyo cha mtoto, mchezo hasa ufumaniwe na mke wa mtu. Hapo ndiyo utaelewa maana ya mke wa mtu. Lazima utanyooka
Hiyo cha mtoto, mchezo hasa ufumaniwe na mke wa mtu. Hapo ndiyo utaelewa maana ya mke wa mtu. Lazima utanyooka
benruby JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 406 Reaction score 595 Sep 9, 2021 #24 Chaliifrancisco said: Kufumaniwa noma. Mfumaniwa: Kimbiza unavyoweza nauli nitakulipa tukifika. Bodaboda: Nauli umeweka wapi? View attachment 1926321 Click to expand... Kimeumana
Chaliifrancisco said: Kufumaniwa noma. Mfumaniwa: Kimbiza unavyoweza nauli nitakulipa tukifika. Bodaboda: Nauli umeweka wapi? View attachment 1926321 Click to expand... Kimeumana
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,738 Reaction score 42,830 Sep 9, 2021 #25 franktemu123 said: Nakumbuka Disemba 2017 wife alinifumania lodge fulani (Sinza Palestina) aisee. Nilipaniki na kuona noma kwa wakati mmoja. Alijaza shazi (watu) balaa. NB: Wife anaongea balaa mimi kimyaaa.... Nitaongea nini Sasa? Click to expand... Uzi teyari tozo hizi
franktemu123 said: Nakumbuka Disemba 2017 wife alinifumania lodge fulani (Sinza Palestina) aisee. Nilipaniki na kuona noma kwa wakati mmoja. Alijaza shazi (watu) balaa. NB: Wife anaongea balaa mimi kimyaaa.... Nitaongea nini Sasa? Click to expand... Uzi teyari tozo hizi