Mkuu ujana, maisha hivi vitu vina siri sana...acha tu.
Ila ni kwamba tulianza uhusiano tukiwa kidato cha nne na hatukuwahi kudate, tulipofika advance mahusiano yaliyumba kwa mwezi Mara moja ila hakuna aliyemtamkia mwenzake, hiyo 2014 tukaresume ghafla tu yeye ndiye alikuwa wa kwanza kunitafuta... 2 weeks later nkaenda kujilipua, hata hivyo alipanga lazima azae na Mimi hata kama angekuwa ameolewa(hapa kuna funzo kwa wanandoa, wengine wanaingia katika ndoa huku wakiwa na maagano mbalimbali na ma ex wao).Mungu atunusuru
from Katesh using Siemens C55