Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,112
- 831,786
Kuna option mbili tuu
1. Kukaa kimya na kuufanyia kazi ushauri wake
2. Kumjibu kwa hoja na si vioja
Mafutataa yamemwagwa kwenye shimo la nyoka.. Mila moja inatoka na style yake...!
Press conference yake ya jana tarehe 24/05 iliyoenda viral Sana imeshaanza kupata feedback toka kwa watetezi
Sasa hadhira inategemea ipate majibu ya hoja zaje yenye mantiki...lakini cha ajabu wajibu hoja wamejificha uvunguni na vichochoroni na kuanza kufukua madudu ya mleta hoja ya zamani
Hii ni dalili ya uoga na kushindwa kwa mapema kabisa! Ni vema wakajitokeza hadharani kama alivyofanya yeye na kumjibu kwa hoja
Vijembe, kebehi, matusi, kashfa na kufukua makaburi yake ya zamani havitaondo ukweli na uhalisia wa yale yote aliyoyasema
Si vizuri kuanza kupaniki mapema kiasi hiki hata masaa 24 hayajapita
Kwasasa hadhira inasimama naye mpaka hapo itakapokuwa vinginevyo.. Wajibu hoja waje kamili ili kuepesha kuaibika zaidi na kupoteza kabisa hata ile imani kiduchu iliyopo
Na hakuna haraka ya majibu muda bado upo! Sasa waliokwisha kujibu kama walitumwa kuja kusafisha njia ndio kwanza wamezidi kuichafua