Mimi sio mtaalamu wa kuflash simu, ila nataka niwafungue macho wasiojua kuhusu box. Hiyo box ni PROGRAMMING KIT ambayo ina umuhimu zaidi pale unapoDeal na simu ambayo haijitambui i.e dead phone. Hii box inachukua control ya sehemu kubwa ya ufahamu wa ile simu. Kwa wale wazee wa ARDUINO wanaelewa zaidi pia wale wanaofanya programming za Main PCB za Tv,redio na vifaa vingine vya electronics wanaelewa kuhusu programming KIT.
So bila kutumia box utaweza kufanya mambo madogo hadi ya wastani kwa simu ambazo hazipo katika hali mbaya tu.