Kufikiri kwa masaburi

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,317
7,738
Habari wanajf,

Ndo nimeingia toka kijijini kwa bibi na kule access not richabo, sasa leo naingia jf nakutana na hii stetimend inamentioniwa sana, "Kufikiri kwa masaburi"
Jamani nini maana ya neno masuburi? maana naoa kiswahili kinakua kila kukicha.

habari wanajf,

ndo nimeingia toka kijijini kwa bibi na kule access not richabo, sasa leo naingia jf nakutana na hii stetimend inamentioniwa sana, "kufikiri kwa masaburi"
jamani nini maana ya neno masuburi? Maana naoa kiswahili kinakua kila kukicha.
makalioooooooo!!

Habari wanajf,

Ndo nimeingia toka kijijini kwa bibi na kule access not richabo, sasa leo naingia jf nakutana na hii stetimend inamentioniwa sana, "Kufikiri kwa masaburi"

Jamani nini maana ya neno masuburi? maana naoa kiswahili kinakua kila kukicha.

kufikiri kwa KIJAMBIO

Bwana Masaburi aliwaambia wabunge kuwa badala ya kutumia kichwa wanatumia 'makalio'.
Amini hajafanywa lolote, sorry hajachukuliwa hatua yoyote!

Bwana Masaburi aliwaambia wabunge kuwa badala ya kutumia kichwa wanatumia 'makalio'.

Amini hajafanywa lolote, sorry hajachukuliwa hatua yoyote!

Hahahahahaaaaa..! watu mna hatari balaa. kaaaz kwer kwer

Hicho ni kilugha mzee,
Wajamii ndio wanaozungumza lugha hiyo,
Kabila hili la wajamii linapatikana humuhumu tu,
Maana ya Saburi ni Kalio,
Sasa Masaburi ni wingi wake,
So utaweka na wewe wingi wake

Back
Top Bottom