Kufika Kileleni Raha Jamani.

Kufika Kileleni Raha Jamani.

Ha!ha!ha!ha.. Kumbe kilele kinapendwa.
 
Aaaah nilidhani ni kile kilele original kumbe sio.
 
Raha ya kileleni mfike wote wewe na mwenza wko hapo ndo utafurahia safari ya kupanda mlima.
 
nimefungua haraka nikajua picha za mtu kafika kilele cha MT Ngono, kumbe klm, aya asante.
 
Hongera zao kufika kileleni si mchezo
attachment.php
 
Back
Top Bottom