Kufika Kileleni Raha Jamani.

Nimeiashia kucheka tu maana mara eti wamefika pamoja mara oohh wamechelewa kufika!!!! Duh nimefurahi sana. Usiku mwema
 
Inaonyesha walitumia muda mrefu sana.
 

Duh!
Wamefika pamoja!

Ushirikiano Mkuu, ni lazima ili mfike pamoja kileleni, vinginevyo mmoja anawahi kuliko mwenzake.


Wametumia muda mrefu !.


Tehe! tehe! Mkuu maandalizi kabla hamjaanza kupanda Mlima ni Muhimu ili muweze kufika Kileleni Pamoja.



kilele kipi?maana vipo vingi....


Tehe! tehe! Kwani kilele kipi kitamu zaidi!



It seems walifanya maandalizi ya kutosha.

Kweli kabisa kufika kileleni raha sana lakini unabaki mchovu



Tehe! tehe! Haya ni mongezi ya watu wazima tu, watoto kaeni Pembeni!
 
Duh jamiiForum raha sana, yaani stress tupa kule...............
 
ama kweli Kiswahili kinakua, na kuota ndevu!!! na baadaye kuwa na mvi!!! na sasa kimebarehe!!!! kumbe ulimaanisha kufika kileleni kwenye mlima!!! mie nilidhani keleleni!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…