Annie john
Member
- Oct 2, 2021
- 50
- 60
Ukiondoa kuuza dawa kwenye maduka na kugawa dawa hospitalini na kupanga madawa kwenye shelves,wafamasia bongo wanabaki na kazi gani?
Wangekua hawasomi wangefauluje na kupata vyeti vyakuhitimu chuo?Hawasomi unataka wafaulishwe?
Sio Tanzania tu ...ata uko Tulikochukua mifumo ya elimu aya mambo ya leseni yapoKwanza mambo ya Leseni ni wizi mtupu, kwanini mtu anapopata cheti cha kumaliza masomo asipate na leseni moja kwa moja?
Nchi hii mambo ya hovyo ni mengi sana
Kwann iwepo mitihani ya Leseni why mtu asipate cheti chq elimu qlosoma na leseni kwa pamoja? Mbona clinical officers hawafanyi mitihani ya leseniSio Tanzania tu ...ata uko Tulikochukua mifumo ya elimu aya mambo ya leseni yapo
Hamna mkuu nashangaa serikali inawalipa helaa kubwaa...[emoji3064][emoji3064][emoji3064] Wanaweka vyeti kwenye famasi wanalipwa hela kubwa pia.. Inauma sanaa sijui tuandamanee[emoji16]Ukiondoa kuuza dawa kwenye maduka na kugawa dawa hospitalini na kupanga madawa kwenye shelves,wafamasia bongo wanabaki na kazi gani?
Mtihani wa leseni muhimu kupika kama Vijana wameivaa..Madaktari walitaka kugomea ila wamekwamaaa so acha wakaangweee.Kwann iwepo mitihani ya Leseni why mtu asipate cheti chq elimu qlosoma na leseni kwa pamoja? Mbona clinical officers hawafanyi mitihani ya leseni
Kama wewe Annie john ni mmoja wa watahiniwa, kushindwa kuandika neno lesseni, mtihani na kipengele ni alama kuwa ni kiazi.Meona matokeo ya pharmaceutical technicians ya lessen kwa waliofanya mthian October hayaridhishi hata kidogo kati ya asilimia 100 walofaulu ni asilimia 15 tu..!!shida iko wap kwa baraza au pharmaceutical technicians wenyewe?
Na njia zipi zitumike kusaidia kukuza ufaulu? Kwasababu inatokea watu wamefanya mthian hata mara sita and still wana fail kwa wenye mawazo yanayoweza wasaidia hawa watu na kuwapatia mwanga kidg waweze kupata matumaini na taaluma walio isomea.
Uhalisia hii course ni ngum. Mpk mtu kumaliza chuo anakua amefanya mithian ya wizara kwa miaka mitatu yote. Sasa anapokuja mtaan kupata lessen inakua kipengere tena kidg inakatisha tamaa. [emoji18]
Summary ya matokeo[emoji116][emoji116]View attachment 2851653
Kama wewe Annie john ni mmoja wa watahiniwa, kushindwa kuandika neno lesseni, mtihani na kipengele ni alama kuwa ni kiazi.
Hiyo mitihani ya marudio kuifanya ni pesa. Ingekuwa wewe Una pataMeona matokeo ya pharmaceutical technicians ya lessen kwa waliofanya mthian October hayaridhishi hata kidogo kati ya asilimia 100 walofaulu ni asilimia 15 tu..!!shida iko wap kwa baraza au pharmaceutical technicians wenyewe?
Na njia zipi zitumike kusaidia kukuza ufaulu? Kwasababu inatokea watu wamefanya mthian hata mara sita and still wana fail kwa wenye mawazo yanayoweza wasaidia hawa watu na kuwapatia mwanga kidg waweze kupata matumaini na taaluma walio isomea.
Uhalisia hii course ni ngum. Mpk mtu kumaliza chuo anakua amefanya mithian ya wizara kwa miaka mitatu yote. Sasa anapokuja mtaan kupata lessen inakua kipengere tena kidg inakatisha tamaa. [emoji18]
Summary ya matokeo[emoji116][emoji116]View attachment 2851653
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiondoa kuuza dawa kwenye maduka na kugawa dawa hospitalini na kupanga madawa kwenye shelves,wafamasia bongo wanabaki na kazi gani?
Nilishawahi kujiuliza hili pia.Kwanza mambo ya kulipia mitihani ya Leseni ni wizi mtupu, kwanini mtu anapopata cheti cha kumaliza masomo asipate na leseni moja kwa moja?
Nchi hii mambo ya hovyo ni mengi sana