Lakunle
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 637
- 587
Wasalaam wanabodi.......
Tukio moja limetokea kijijini kwetu wananchi wamemtimua kwa mapanaga mtumishi wa serikali(mwalimu was kiume) kwa tuhuma za kufanya mapenzi na wake zao kiuchawi. Jamaa kahamishiwa kituo kingine.
Maswali nnayojiuliza ni mbinu gani wanatumia kukuamsha hisia ilhali wewe umelala pia hakuna uwezekano wa mtu kumwambukiza magonjwa ya zinaa? Msaada tafadhali

KLMY