Kufanya shopping na mwanamke

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wauzaji wanakomaaga bei bhana. . Afu unajua process ya kubargain anaweza akakereka, maana sa zngne mpka unaondoka afu unarudi ndio unanunua
Sema hapo kwenye ku bargain ndio huwa nawakubali wanawake...
Na wakikuona muuzaji umekaa ki [HASHTAG]#danga[/HASHTAG] danga ndo usiseme, utalegezewa mimacho wee mpaka upunguze bei. Na ndio maana mnataka kwenda wenyewe hasa huko kwenye mitumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…