Kufanya shopping na mwanamke

Kufanya shopping na mwanamke

wauzaji wanakomaaga bei bhana. . Afu unajua process ya kubargain anaweza akakereka, maana sa zngne mpka unaondoka afu unarudi ndio unanunua
Sema hapo kwenye ku bargain ndio huwa nawakubali wanawake...
Na wakikuona muuzaji umekaa ki [HASHTAG]#danga[/HASHTAG] danga ndo usiseme, utalegezewa mimacho wee mpaka upunguze bei. Na ndio maana mnataka kwenda wenyewe hasa huko kwenye mitumba
 
Back
Top Bottom