Kufanya shopping na mwanamke

Kufanya shopping na mwanamke

Unapaswa uwe na muda wa kutosha, lkn kama una ratiba nyingine za muhimu ni bora usiende shopping siku hiyo
Mwanangu we hunitakii mema.Si unajua hawa watu usipowatilia maanani humo ndani hakukaliki ? Yeye ndo inabidi apewe attention yote ile,maana ukiwaudhi humo ndani wala hapakaliki. Akukubaini umezuga kwenda naye huko madukani kwa sababu ya kitu kama mpira si unajua tena vituko vyake hapo. Inabidi ukomae tu uende naye,ila na wewe ukimtaim unaanza kusingizia ugonjwa siku kadhaa kabla.Kila siku tumbo limechafuka inabidi ukae karibu na chooni,kumbe we una mahesabu na mpira.
 
Nmependa huo mstari wa pili kutoka mwisho,Yaani nmecheka mpaka nimeshikwa na kwikwi
 
Mi shopping ya vitu vya familia, tutafanya wote. .
Ila vitu personal, please give me some space hatuongozani wallahi
 
Mi shopping ya vitu vya familia, tutafanya wote. .
Ila vitu personal, please give me some space hatuongozani wallahi
Kwa sbb huoni umuhimu wa kuwa na Mr kando katika hiyo shopping binafsi au unahisi utamsumbua
 
Ni hasara Tupu Bro....kwanza unapandishiwa mpaka bei wanajua utanunua tu!
 
Kwa sbb huoni umuhimu wa kuwa na Mr kando katika hiyo shopping binafsi au unahisi utamsumbua
Umuhimu wake nini? Kuharakishwa awahi wapi sijui, aku I need time kwa raha zangu polepole, napita kila chocho naulizia kila kitu ( hata Kama sinunui)

Wengine tunaendaga mitumbani besti. . wa splash, Mr price, max ndio wabebane na mabeibi
 
Hata huko mitumbani pia...
Au ukiwa nae huwezi punguziwa bei?
 
na wanamme wapendavyo sfa na point za ushnd waweza nnua vyote ulvyo vkuta mahalo pale
 
Hata huko mitumbani pia...
Au ukiwa nae huwezi punguziwa bei?
wauzaji wanakomaaga bei bhana. . Afu unajua process ya kubargain anaweza akakereka, maana sa zngne mpka unaondoka afu unarudi ndio unanunua
 
Back
Top Bottom