Kufanya ngono kabla ya ndoa ni dhambi au sio dhambi?

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,379
12,574
Binafsi siri ya kuwa mtu makini na mwenye misimamo yangu binafsi ni baada ya kugundua taarifa nyingi ambazo watu wanazibeba kuwa ndio kweli mara nyingi si si za kweli.

Wrong information
Unakuwa mjinga na mtumwa bila kujijua.

Nina swali, mnipe majibu kupitia Biblia ambayo na mm nimeisoma vizur...

Kufanya ngono kabla ya ndoa ni dhambi au sio dhambi ?

mwenye andiko atupe.

Sex before marriage is a sin or not a sin ?
 
Wagalatia 5:19-21

19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri nayo ni haya: uasherati, uchafu, ufisadi, 20 kuabudu sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, mafarakano, uzushi, 21 husuda, ulevi, ulafi na mambo mengine yanayofanana na hayo. Nawaonya, kama nilivyokwisha waonya kabla, kwamba watu watendao mambo kama haya, hawataurithi Ufalme wa Mungu.

Ukisoma hapo utakutana na neno UASHERATI, hivyo kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa ni dhambi.
 
when you have sex with multiple partners you tend to build preferences.
This may lead to loosin out on potential partners bkoz of the preferencrs.
Thats why the bible inakataza, bkoz mtu ambae hajawahi kunyanduana, only thing ako anajua n ya huyo spouse wake.
I thnk thats why inakatazwa,
 
Ukishabelehe unapaswa kuanza kupata huduma ya sex...

Zamani ilikuwa vijana na mabinti wakifikisha umri wa kuanza kunjunjana basi wanaoa nankuolewa chap.... Na ndiyo enzi wakati wanaandika hizo amri, ndiyo wakaleta na ujinga wa "Usizini" bila kuangalia nyakati za mbeleni itakuwaje.

Kwa sasa watoto wanabalehe wako sekondari, shule zimekuwa ndefu, mpaka aje amalize ana miaka 23, 24, 25. Sasa mtu abalehe ana miaka 12, unategemea atapambana na ashki kwa miaka 10? Ni ngumu, nyakati zinakinzana na hiyo amri.
 
when you have sex with multiple partners you tend to build preferences.
This may lead to loosin out on potential partners bkoz of the preferencrs.
Thats why the bible inakataza, bkoz mtu ambae hajawahi kunyanduana, only thing ako anajua n ya huyo spouse wake.
I thnk thats why inakatazwa,
wanakataza watu sio Mungu
 
Walioitwa waasherati kwenye Biblia maana yake ni wanaofanya sex kabla ya ndoa.

Kama kuna andiko hopefully members waliosoma biblia vizuri wataweka andiko.

Kwa ustaarabu wa kawaida tu ilibidi kila mtu afanye mapenzi ndoani, swali ni je, tangu kuumbwa kwa ulimwengu watu wote wamepata ndoa? Labda kabla ya tafsiri ya kisasa ya ndoa, kuna muongozo mwingine wa ndoa ninini?

Sex ni hitaji la kimwili la binadamu aliyebalehe/vunja ungo. Ndio maana sheria za nchi zilizostaarabika hawa-illegalize sex unless imefanyika kwa “minor”.
 
19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri nayo ni haya: uasherati, uchafu, ufisadi, 20 kuabudu sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, mafarakano, uzushi, 21 husuda, ulevi, ulafi na mambo mengine yanayofanana na hayo. Nawaonya, kama nilivyokwisha waonya kabla, kwamba watu watendao mambo kama haya, hawataurithi Ufalme wa Mungu
Mbona kama hatuponi 😂
 
Wagalatia 5:19-21

19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri nayo ni haya: uasherati, uchafu, ufisadi, 20 kuabudu sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, mafarakano, uzushi, 21 husuda, ulevi, ulafi na mambo mengine yanayofanana na hayo. Nawaonya, kama nilivyokwisha waonya kabla, kwamba watu watendao mambo kama haya, hawataurithi Ufalme wa Mungu.

Ukisoma hapo utakutana na neno UASHERATI, hivyo kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa ni dhambi.
Rudi kasome biblia vizuri, Kaangalie maana ya Uasherati
 
  • Thanks
Reactions: K11
Siez kuleta evidence from bible maana sio mjuvi saaana but i think bible inatumika kutoa muongozo wa maisha ya duniani.
Ndo maana japo imeandikwa ki-tricky, bado kuna njia kibao za kufanya interpretation.
Soo, it depends kwanza kama unamuamini Mungu yupo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom