Kufanya mapenzi( Ngono) siyo dhambi.

Sasa bwana Zero IQ kama umekubali kuiba ni dhambi kwanini unakataa kuwa uasherati/uzinzi sio dhambi?

Ok, let's say kuiba tuu ndio dhambi.Nikienda kuzini na jirani anayenishobokea, sinitakua nimeiba tamu ya mke wangu na kumpelekea jirani?Au kuna tofauti gani na kuiba perfume ya wife na kumpa huyo jirani?
 
Upo sahihi kabisa. Kufanya mapenzi (ngono) ndani ya ndoa siyo dhambi.

Dhambi ni uzinzi na uasherati.

Hata ratio uliyoiweka inakubalina kabisa na ndoa za Kiislam za mpaka wake wanne.
 
Salute mkuu

Mzoefu wa hizo mambo
Unastahili tuzo.

Watu na code zenu daah!,tunaibiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pafyumu imegharamiwa ni mali ya mtu mwingine ila dushe ni mali yako na wewe ndio mmiliki mkeo ni share Holder tu ndio maana ata akikuzingua wewe unaondoka na dushe lako na yeye anaondoka na papuchi yake,

Kuitumia kwa mwingine siyo dhambi kwa sababu wewe utakuwa unatumia mali yako unayoimiliki mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi kabisa. Kufanya mapenzi (ngono) ndani ya ndoa siyo dhambi.

Dhambi ni uzinzi na uasherati.

Hata ratio uliyoiweka inakubalina kabisa na ndoa za Kiislam za mpaka wake wanne.
Mi sijazungumzia kwenye ndoa pekee mkuu nimezungumzia in general.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah, kwahiyo nayeye akienda kumpa jirani anayemshobokea ni sawa?
 
Ulishawahi kujiuliza kwa nini Mungu kaumba wanawake wengi kuliko wanaume yaani ile Ratio ya 4:1?
Kwa sababu moja tu kuwatafuna na kuijaza dunia unajua mpaka leo ni 1/4 tu ya ardhi duniani ndio wanaishi watu iliyobaki yote ni misitu na jangwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 



Wewe katika karne ya leo unataka kuishi kama alivyoishi mzee wako wa zamani??😁😁😁, mzee asiyejua Laptop wala smartphone!!, si ajabu hata baiskeli haijui na wala hata hakuiiona.
 
Kwahiyo mkuu Zero IQ kutembea na mje wa mtu sio wizi wala sio kumkosea mwenye mke heshima??
 
Write your reply...halaf kwel ngoja nifate ushauri wako.SENT BY TECNO AMBER RUTTY AG 7 using jamiiforums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…