Kufanya mapenzi/ngono kwenye gari yako ni kosa kisheria?

Pole kwa kubanwa, naamini ni kwa wema! Mimi pia nilikuwepo sema sio kivile, afu siku hizi nimekuwa na tabia ya kuishia chit chat, labda ndio mana hatukutani...
Afadhali tusiwe tunakutana kwingine...natamani mimi na wewe tuwe tunakutana tu Chit Chat na MMU...but kule kwingine nooooooooooooooo!!!!
 
kosa ni kufanya hadharani! nini maana ya hadharani?----tunaweza kusema penye watu wengi---wengi wangapi? sheria haisemi.
kufanya ndani ya gari ni sawa...kama sheria ingekataza ingesema basi ni wapi pa kufanyia! mkuu unaweza pia kujaribu juu ya mti, choo cha umma, au kwenye lifti...
 
kwa kuweka mjadala sawa na kupunguza upotoshaji tuelewane kazi ya polisi ni kusimamia sheria na maadili!
Sasa kisheria hakuna jinai kwa kufanya mapenzi hadharan.
ila kupitia mlango wa maadili wanatakiwa wakuzuie ingawa hakuna charge ya kukupeleka nayo mahakaman labda kubambikiana jinai mbadala!( Ni kama ilivyo kwenye kufumaniwa na mke wa mtu hakuna jinai ila polisi wana mlango wa kukushikiria kwa kuhatarisha amani hata dhidi yako mwenyewe!)
By the way, nawashauri wanaume wenye vibamia na wafup kwenye gari panafaa (hasa seat ya mbele ya abiria iliyolazwa) wanapata pa kusimika miguu ili watumike kiufanisi!
 
Back
Top Bottom