Miezi michache ilopita kuna jamaa mmoja alikuwa anatuhadithia kuwa alikuwa Coco Beach na "kiburudisho " chake, baadaye wakajisikia " wadudu wananyenvua nyenvua", wakaamua kumalizana katika gari; ilikuwa usiku..wakati wanaendelea wakatokea polisi..wakaanza kugonga dirisha kwa nguvu..jamaa akaona msala akawasha gari na kutoka mbio..lakini polisi wakaanza kumkimbiza umbali mrefu tu ingawa baadaye alifanikiwa kuwaacha.
Jana sasa kitu kama hicho kimenitokesa mwenyewe maeneo ya Kitunda, jamaa mmoja akagonga sana gari, baadae nkaamua kuondoa jamaa akanifukuzia umbali mrefu sana...Sasa najiuliza, hivi je sheria za nchi yetu zinasemaje kuhusu hili? Ruksa au sio ruksa?
Bila ya kusahau, switch off engine, weka handbrake halafu laza viti.....si hivyo mtakuja kulaumiana.sheria ipo, inasema vaa condom
me namlaumu huyu mwanamke tuu
Ni lewd conduct ? lol
Mimi imenitokea pale The Green , Oysterbay, nilikua na precious mlupo wangu , tuka amua kufanya advanture moja matata, nikaparki gari pale usiku halafu tukatoka nje ya gari tukiwa watupu then tukaanza ku nani hii no, bila kujua kumbe kuna police, nikastukai police anatuvizia, , tukadhani vibaka, tukakurupuka ku ingia ndani ya gari haraka, kupiga start gari ikagoma,tukawa hatuna jinsi tukakamatwa , kibaya zaidi kumbe huyo police ni police fake kavaa nguo za kipolice, aka chukau laki mbili na kutokomea alikokujua.
Nakubaliana na wewe kabisa hapo. Nimejitahidi sijarudia tena , ila nimesha do kwenye treni , ilikua Orange line toka1. Mshahara wa dhambi ni mauti!
2. Wajinga ndio waliwao!
Kisa?
...Sasa najiuliza, hivi je sheria za nchi yetu zinasemaje kuhusu hili? Ruksa au sio ruksa?