narudia tena kununua kikuu sijawahi kuona kuna tija ,jifunze haya masoko ,Aliexpress ,alibaba,amazon ebayHabari wakuu naomba kuuliza kuhusu kuagiza mzigo kwa kutumia online shop ya KIKUU. Je kuna janjajanja yoyote au niagize mzigo.....?
Kati ya masoko hayonarudia tena kununua kikuu sijawahi kuona kuna tija ,jifunze haya masoko ,Aliexpress ,alibaba,amazon ebay
Mkuu huku alibaba nashindwa kuagiza kwa sababu ya ulazima wa kununua vitu vingi.narudia tena kununua kikuu sijawahi kuona kuna tija ,jifunze haya masoko ,Aliexpress ,alibaba,amazon ebay
Yote inategemea kila soko na faida zake na hasara zake kuna uzi unahusu haya mambo Moderator Upelekeni uzi wake ukaungane na zile nyuzi za manunuzi mtandaoni ,apanue akili huko.Kati ya masoko hayo
Ni soko lipi ambalo ni zuri na linaleta bidhaa kwa mteja kwa wakati
Na tupi anafanya malipo kwa mitandao yetu ya Tz?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni mzigo wa biashara tumia Aliexpress na kama ni bidhaa binafsi unaweza kutumia hata Kikuu au Aliexpress piaHabari wakuu naomba kuuliza kuhusu kuagiza mzigo kwa kutumia online shop ya KIKUU. Je kuna janjajanja yoyote au niagize mzigo.....?
Ubarikiwe sanaKama ni mzigo wa biashara tumia Aliexpress na kama ni bidhaa binafsi unaweza kutumia hata Kikuu au Aliexpress pia
Asante sana moderateKati ya masoko hayo
Ni soko lipi ambalo ni zuri na linaleta bidhaa kwa mteja kwa wakati
Na tupi anafanya malipo kwa mitandao yetu ya Tz?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameniomba buku na Mimi, afu wanasema Kila mzigo bukuShida ni magent wa mikoani ni wahuni wanataka nyongeza ya pesa pia Soma feedback za watu vizuri hakikisha hawakutozi zaidi ya 1000
AliExpress wana agent au wanatumia hao hao wa kikuuu?Wameniomba buku na Mimi, afu wanasema Kila mzigo buku
Niliagiza mzigo AliExpress nashangaa natakiwa nikachukue office ya agent wao,, binafsi naona sio njia sahihi
AliExpress wana agent au wanatumia hao hao wa kikuuu?
OkyNaona anatumika wa kikuu