Kufanya kazi serikalini vs kufanya kazi sector binafsi.

ni vyema ufanye utafiti kwanza kabla ya kuamua kuaga hapo ulipo coz unaweza jutia maamuzi
 
Usiangalie mshahara, watu asilimia kubwa hawategemei mshahara, angalia ni vitu gani unaweza kuvifanya ukiwa huko serikalini vikaongeza kipato chako.
Mim nimepata kazi private ambayo mwisho wa siku take hom 1.6m, but huku nilipo serikalin take hom 6.2lak. Lakin bora huku huku kuliko private.
 
Mimi nalipya 5.2Mil Gross ktk priveta Sector lakini natafuta kazi Serikalini hata ya Laki 8 Gross.


sidhan kama kuna ukweli hapo! Mshauri mtu kitu ambacho kipo kwa mifano ya ukweli,kwann udanganye?
Nionavyo mimi serikalini nenda kama unataka freetime na kutobanwa ili ufanye vitu vyako lakini maranyingi utategemea mshahara tu. Private nenda km untaka kukuza professional na experience. Serikalin kuna haribu fani za watu wanabweteka and no 1 cares. Wengine wameajiriwa as computer engineers ila mpaka hapa nacomment wanfanya kazi tofauti nahizo kabisa. Eg.2. Kuna jamaa kaajiriwa mambo yandani km IT analyst na akaenda depo ccp ila mpaka leo anafanya malindo na alifanyiwa interview as IT analyst. Usikurupuke.
 
asante sana kwa mawazo yako mkuu.

Idara ya mipango unakokwenda ndio engine ya idara zote baada ya idara ya fedha! fedha za miradi ya maendeleo za idara zote zinazoletwa na serikali Mipando ndo mnasimamia!

Fungu: Bajeti ya mwaka:
Basket fund - afya 900 mil
Road Fund - Ujenzi 1.5 bil
DASIP na DADID - kilimo kwanza 1.2 bil
TACAIDS 700 mil
MMEM -Elimu msingi 1.4 bil
MMES - Elimu sekondari 1.5 bil
Maji 800 mil
utawala 7 bil
unataka nin zaidi? hakuna kwenye uwezo wa kutoa fedha bila wewe bwana mipango kuthibitisha na kuidhinisha................
kama mapa jumanne hufakika kuripo tunabatilisha maamuzi changamka ngugu.....................
 
Idara ya mipango unakokwenda ndio engine ya idara zote baada ya idara ya fedha! fedha za miradi ya maendeleo za idara zote zinazoletwa na serikali Mipando ndo mnasimamia!

Fungu: Bajeti ya mwaka:
Basket fund - afya 900 mil
Road Fund - Ujenzi 1.5 bil
DASIP na DADID - kilimo kwanza 1.2 bil
TACAIDS 700 mil
MMEM -Elimu msingi 1.4 bil
MMES - Elimu sekondari 1.5 bil
Maji 800 mil
utawala 7 bil
unataka nin zaidi? hakuna kwenye uwezo wa kutoa fedha bila wewe bwana mipango kuthibitisha na kuidhinisha................
kama mapa jumanne hufakika kuripo tunabatilisha maamuzi changamka ngugu.....................

Kwanza nianze na hapo kwenye red, ndo mavitu gani hayo?

Pili hiyo habari ya kumdanganya eti ndo anamilki hiyo fedha utakuwa unamdanganya. Kila idara inamilki fedha yake yenyewe. Fungu likishafika tu kila mkuu wa idara anakuwa ametoa macho kama nini? Hapo yeye atacheza tu na makaratasi, fedha italiwa na watu wa idara ya fedha. Idara ya mipango huwa wanaidhinisha mipango tu, fedha ikifika tayari wanakuwa walishajua kila idara imepangiwa fedha kiasi gani na nani anayetakiwa kusaini kutoka kwenye idara husika. Kwa mchumi daraja la II ni mtu wa kawaida sana katika halmashauri (yaani ni mtu wa kutumwa lakini siyo kuchungulia kule jikoni). Labda kama atakuwa anaenda kwenye wilaya mpya, huko ndo atafaidi matunda ya uhuru. Kuna wilaya ambazo miradi mingi inayokuja kutoka kwa wafadhili inasimamiwa na watu wa mipango mf. LVEMP II kwa wilaya za mikoa ya kanda ya ziwa, TASAF n.k Ila kama anaenda kwenye wilaya kongwe anaweza kukimbia kazi huyu.

Kusema kweli kuna tofauti kubwa sana kati ya kufanya kazi serikalini na kwenye sekta binafsi. Serikalini kuna uhuru mkubwa wa kupumzika, wakati kule kwingine unafanyishwa kazi kama punda. Mimi niliamua kuacha kazi yangu ya 1.6m (take home) kwenye moja ya UN agencies hapa TZ na kukimbilia kazi yangu ya serikali ambayo nilikuwa nimepangiwa. Sasa hivi angalau ninapumua!!! Tamaa ya fedha itakuua ndugu yangu, nenda kachukue kazi ya serikali hutakuja kujutia uamuzi huo. Pia kule unakuwa umetega dish lako kwa ajili ya promotion, siku moja unaweza kujikuta umekukwaa u-DPLO, mradi ukifika huko usibweteke na hiyo elimu yako ya bachelor. Kaa kidogo omba kwenda kupiga masters yako kwenye fani yako, maana kule kwenda shule hakusumbui kama ilivyo kwenye sekta binafsi.

Achana na hao wanaokushawishi ubaki huko eti hufanyikazi milele. Sasa hiyo tofauti ya mshahara wako wa sasa na ule wa serikali ni kitu gani hicho? Nenda mwanangu serikalini ukapige kazi na kupiga bishara zako mwenyewe maana utakuwa na nafasi ya kusimamia.
 
Japo mimechelewa kukureply , lakini dabiebey this world is full of things we really do not know. One of them is that, we have powers which we do not use. If you think properly, positively and believing that you can make it you will, eventually. If you want to know more , I can tell you , the principle of life is, whatever you want comes from the universal powers., And which you are part of it. If you think about God as Universal Power, then you know for sure you have part of God in you housed by your flesh. The contact point is your thought. You can be what you want through your way of thinking. If you think correctly you have made contact with the powers , which principally are in every other person. If you ask your inward world what you want, and repeat it frequently until it sinks in your subconscious mind, you will get surprised how what you wanted will manifest without you knowing how it came about. It will show in the outward world.This is not a theory or religious fallacies. It is a fact and only fact of truth. So keep your thought, you will manage it. Remember it has to come from you, inside you, and that you are part of the Universal Powers through which nothing is impossible.
Mzee inaonesha ulikuwa (and maybe u still are)--positive sana, this is 11 years later, positivity yako imekufanya kuwa 100 times better.?😀
I am not harassing u, I am sometimes reading books na kusikiliza podcasts ambazo I am believing in them ila najiuliza hivi wazazi wetu namna tunavyowaona labda hawakuweza kutoboa sana ni walikosa iyo ama ilikuaje.
Ama ni sisi ujanani tunaona we can become a lot ila when we grow old and look back tutaona it was just illusion and there's nothing worthy than just to be happy
 
Back
Top Bottom