Kufanya kazi mkoani Mbeya

Njoo ntakupokea, nyumba pia unaweza kuishi kwangu kwa kuanzia kabla hujapata sehemu yako. Mbeya pako sawa na maisha sio gharama sana, sema nimeoa pia. [emoji4]
 
Utaenda kuliwa kimasihara na wanyakusa kutokea tukuyu
 
Wewe unapenda kuajiriwa na kulipwa mshahara unahofia mzunguko?au unamaanisha rushwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ubaki huko huko dar una matusi sana
 

Kwa vile wewe ni mwanaume wa Daslama [emoji28][emoji28]utapata tabu sana


Sent using IPhone X
 
Kama si mfuasi wa Chadema usiende huko, tuendelee kubanana hapa
 
Usiache bahati hiyo. Mby ni mji ambao ni simple kuishi hasa kama ni mtu wa budget na pia overall papo vizuri japo vidosari vidogovidogo unaweza kutana nazo japo ni kawaida tu.
 
Anashangaza eti kukulia Dar ndiyo asiende Mbeya, aache kwenda aone kesho yake watu 500 wanaitaka hiyo kazi, sijui angekuwa London au Paris ingekuwaje
Ndiyo maana tunasema vijana wa sikuhizi ni WAJINGA-WAJINGA wasio na vichwa wala mkia,
Uwoga wa maisha unawafanya watu wengi kushindwa kutoka DAR na kwenda mikoani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepmisi sana Mbeya.
Best place ever, you supposed to go and work there.
 
kwa haya matusi,mbeya utapaweza kweli?utaishia kurogwa bure..
 

Mbeya wanapigana nondo za kichwa ili nondo uliyoigwa nayo damu ikatoka wakauzie nyama bucha.

At your own risk.
 
Wewe stress zako za maisha katolee zinapohusika. Kuna sehemu nimesema sitaki kwenda mbeya. Nyie ndo katika maisha ya kawaida ndo watu mnaoitwa wenye husuda. Afu kinachosikitisha mnaonesha hii tabia humu jamii forums wengi ni wanaume. So sad [emoji1787]
Anashangaza eti kukulia Dar ndiyo asiende Mbeya, aache kwenda aone kesho yake watu 500 wanaitaka hiyo kazi, sijui angekuwa London au Paris ingekuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…