JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,383
- 9,844
Hilux inakuja na 1GD ftv hii ngoma achana nayo kabisa vijana wanasema acha iende
Zile LX v8 single turbo zinakaa hapo
Engine hio ipo kwa latest hiace , Prado, Fortuner pia Zina option ya engine hio
Wanaweka Logo za AMG halafu wanashindwa hata kuondoa logo ya C180 Kompressor au C200.Imekuwa fashions tu kuweka badge za AMG
C -class AMG ni 6200cc top speed ni 340km/hr
So simply hizi AMG za mlimani city uongo[emoji28][emoji28]
Kwa siku hizi tunazitumia kama incubotaAE86..
4A engine ni tunable vizuri..
Gari haina uzito..
Miaka hiyo hizi Corolla zilikuwepo nyingi tuu mjini..
Sijaziona muda mrefu sana..
View attachment 2503672
Hilux inakuja na 1GD ftv hii ngoma achana nayo kabisa vijana wanasema acha iende
Zile LX v8 single turbo zinakaa hapo
Engine hio ipo kwa latest hiace , Prado, Fortuner pia Zina option ya engine hio
Hizi gari ni manual transmissions Acha kabisa kufanya nayo ubishi
Si Ni Kama badge za TRD zile hadi kwenye Bajaj wanabandika kirukuu, coaster nachekaga Sana wazee wa kuigaImekuwa fashions tu kuweka badge za AMG
C -class AMG ni 6200cc top speed ni 340km/hr
So simply hizi AMG za mlimani city uongo[emoji28][emoji28]
zile AMG koko 😅😅Kuna Mercedes C180 na C200 zimewekwa badge ya AMG.
Mtu anaweza akaziogopa bure.
Hio 1GD1GD ikipewa dozi..!
Vanguard ina kaunyama flan highwayHio 1GD
ni Prado j150 ila sio yenye 1GD.
afu wa Prado Yuko busy na Mambo yake , me pia Nina video nikiila y62 na vanguard
Hii gari gani aisee mbona ina unyama mwingi hiviii!!!
Hii ni hatari sana Hadi ford ranger imekalishwaSegment ya Pick up amarok anawagaragaza sana ndugu zake.
Hiyo video wametumia Amarok ya 3.0TDI ila nakuambia hata kama ingekuwa ni Amarok ya 2.0TDI au 2.0Bi-TDI bado Hilux asingefua dafu.
Amarok hizo gari zinatembea sana.
Four cylinders haiwezi moto wa Six cylinders..Segment ya Pick up amarok anawagaragaza sana ndugu zake.
Hiyo video wametumia Amarok ya 3.0TDI ila nakuambia hata kama ingekuwa ni Amarok ya 2.0TDI au 2.0Bi-TDI bado Hilux asingefua dafu.
Amarok hizo gari zinatembea sana.
Kwamba petrol hakuna?J150 kuanzia 2015 zina 1GD..!
HakunaJ150 kuanzia 2015 zina 1GD..!