mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,167
- 8,244
- Thread starter
- #21
Inasikitisha sanaaYote uliyosema ni sahihi kabisa. Wewe ni muelewa sana. Na yote uliyoyaongea ndio kete yao kuu ujinga wetu,uoga wetu na ndio utajiri wao
Inasikitisha sanaaYote uliyosema ni sahihi kabisa. Wewe ni muelewa sana. Na yote uliyoyaongea ndio kete yao kuu ujinga wetu,uoga wetu na ndio utajiri wao
Pasipo haki hakuna ustaarabu, kwanin mtu asubiri mpaka itokee hivyo ?ndio ujinga na uoga wenyewe..Stay safe , be on guard everytime.Uzi mzuri hadi ikute mzazi wako kijijini kuporwa ardhi yake kwa hati za kufojiwa na unaowaita ' wajanja'
Tumpongeze Mariam wa uswazi kwa kutumia akili kidogo na kujipigia pesa kupitia upatu.Wanasema kuzalliwa masikini sio chaguo lakini, kufa ukiwa masikini ni KUJITAKIA ikiwa umezaliwa Tanganyika.
Kufuatia tafiti yangu fupi niliyoifanya kupitia matukio ya kisiasa na Yale ya kijamii nchini ,ni wazi Tanganyika yetu ni miongoni mwa mataifa yenye watu, wavivu, waoga na wabinafsi kupindukia.
Unahitaji ujasiri kidogo tu kuwa vyovyote vile unavyotaka na haijalishi ni kwa njia gani.
Nchi imejiozea na wananchi wake wengi majuha wameamua kutafuta furaha katika ujinga na upumbavu. Akili za watanganyika zimejaa ganzi ya upumbavu na ujinga , usiwaonee huruma unapotafuta jambo lako ila kua jasiri na usiwaangalie usoni .
Hawasaidiki, kabla hujajutia huruma yako jineemeshe kupitia upumbavu wao