Kufa kwa intelijensia ya CHADEMA

Siasa safi ni ipi?

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Nimeshtuka kasikia kuna madiwani wamehongwa kujiuzuru.haya yalisemwa toka May na katibu,kuna hatua alichukua?kibaya ni usalama wa ben, hakuna kitu kinaniuma mitandaoni kama kusoma stori za kupotea kwa ben
Tuwe wakweli,hili la kupotea kwa Ben Kubenea anajua jinsi mwenyekiti Mbowe anamaslahi nalo.
 
Chadema ni taasisi kubwa kwahyo muda si mrefu wahujumu CHADEMA wote watajulikana

Send from Buja
 
Haihitajiki elimu ya chuo kikuu kujua kama wale madiwani wamenunuliwa, mburula wee.
 
Ni dhambi na kosa kubwa sana kumjadili marehemu, muache apumzike kwa amani, Raha ya Milele Umpe EE Bwana marahemu chama kilichokufa chadema
 
Chadema sio leo toka zamani hawawezi kuwa na taarifa za kiintelijensia.

fail to plan = plan to fail.
 
Inasikitisha kwa sasa chama hakina ajenda rasmi na dira ya kuelekea 2020 kimkakati na isitoshe kimekuwa more reactive than proactive
 
Toa mashinji,weka Lema,toa Mbowe weka Lissu!
Toa Lowasa,toa Sumaye tena flash kabisa toka chamani!
Halafu ingiza viongozi vijana chamani!
Hasahasa Lowasa,kwani anakizeesha chama kiitikadi na kimwenekano!
Unaweza kumfukuza baba yako nyumbani kwake wakati anakufuga? CHADEMA mali ya Mbowe na mkwewe ataondolewa vipi? na nani atamuondoa? Lowassa aliuziwa haki ya umiliki wa chama kwa hati ya dharura,kama vipi arudishiwe pesa yake ndo wamuondoe. Sumaye ni kama joka la kibisa hana madhara yoyote hata akikaa chadema miaka 100 ijayo ni debe tupu..!!!
 
Sio kama zamani saizi wanasubiri ngoma ipigwe na Magufuli ndipo wacheze mziki

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Uthibitisho nenda kwa sizonje akanushe
Wewe uliesema ndo tunataka uweke uthibitisho
Angalieni nyinyi watu sio kwa kua mpo nyuma ya keyboard basi mnajiandikia tu mtakacho
Haya............
 
sikubaliani na wewe intelligensia ya CHADEMA iko makini ndio maana imemnasa Mbowe akijivinjari na Wema Sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…