Kufa kwa intelijensia ya CHADEMA | Page 6 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufa kwa intelijensia ya CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OKW BOBAN SUNZU, Jul 12, 2017.

 1. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2017
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 23,517
  Likes Received: 19,740
  Trophy Points: 280
  Kama mnakumbuka CHADEMA ilikuwa ni chama kinara wa kudaka taarifa za kiintelijensia zikiwemo za kuhujumu chama na ufisadi.

  Mifano ipo mingi, intelijensia ilimnyaka Zitto akisaidiana na CCM kukiua chama. Kina Shonza na wenzie walinaswa kabla hawajaleta madhara nk

  Lakini leo hii hali ni tofauti kabisa, CHADEMA kimekuwa chama kisichojua chochote kuhusu usalama wa watumishi wake,hakijua alipo Ben Saanane, hata kujua tu ni kina nani wamefanya haya.

  CHADEMA ilikuwa chama cha kuwahi kabla hakijawahiwa. Zitto tulimuwahi, Shonza na wenzake walizimwa kabla na mapema. Lakini leo hii hata madiwani washamba kabisa wanashindwa kujjlikana mapema hujuma zao na kufukuzwa kabla ya kujiuzuru.Hovyo kabisa.

  Lazima tukubaliane Dr. Mashinji kazubaa sana.
   
 2. silent kills

  silent kills JF-Expert Member

  #101
  Jul 13, 2017
  Joined: Jun 11, 2016
  Messages: 350
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 80
  L
  lowasa anakuumiza kuliko mtu yoyote EE hhahaha
   
 3. Ntalukwilasa

  Ntalukwilasa JF-Expert Member

  #102
  Jul 13, 2017
  Joined: Jun 24, 2017
  Messages: 451
  Likes Received: 577
  Trophy Points: 180
  Naunga mkono hoja,Chadema kimekuwa chama chakuchezewa na madiwani..mbaya zaidi viongozi wakuu wapo kimya..nahisi kunakitu kikubwa kinaendelea ndani ya chama na viongozi wakuu hawataki kukisema..Mashinji amevalishwa kiatu kisicho saizi yake.
   
 4. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #103
  Jul 13, 2017
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 19,040
  Likes Received: 11,778
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa nini hamtaki kuona mapungufu ya Mbowe... ...?
  Kwa nini hamtaki kuamini kuwa Mbowe ndio tatizo.?
   
 5. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #104
  Jul 13, 2017
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 23,517
  Likes Received: 19,740
  Trophy Points: 280
  Eti madiwani leo hii wanaiumiza kichwa chadema!!khaaaa,Chadema ilikuwa ya kuumizwa kichwa na usalama na polisi tu
   
 6. NAHUJA

  NAHUJA JF-Expert Member

  #105
  Jul 13, 2017
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 17,592
  Likes Received: 19,413
  Trophy Points: 280
  Msimlaumu Mashinji yawezekana wanashughulikia hilo tatizo lakini hawawezi kutoa taarifa hadi kila kitu kikamilike, tuwe na subira, mambo mazuri hayataki haraka.
   
 7. Fidelisfcm

  Fidelisfcm JF-Expert Member

  #106
  Jul 13, 2017
  Joined: May 27, 2017
  Messages: 266
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Wakizunguka nchi italeta manufaa gani kwenye maendeleo kwa mfano.yaani wazunguke miaka yote minane kuwa mtu ni mfusadi then waseme hakuwa mfisadi.kama ndo wako hivi si wasubirie tu uchaguzi.huko arumeru madiwani wanaachia ngazi wao hawalioni. Hata ukisoma kwenye gazeti ni kuambiwa tu na siyo facts.

  Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
   
 8. Fidelisfcm

  Fidelisfcm JF-Expert Member

  #107
  Jul 13, 2017
  Joined: May 27, 2017
  Messages: 266
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Mbona wengi madiwani. Hivi hata wenyeviti wa mitaa/vijiji au vitongoji wanaachia ngazi?

  Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
   
 9. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #108
  Jul 13, 2017
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 11,289
  Likes Received: 12,230
  Trophy Points: 280
  Naona unachanganya maendeleo na siasa. Ukifanya siasa huwezi kuleta maendeleo? Usiwe kasuku ukisikia neno hapa jukwaani unalibeba kama lilivyo. Mbona rais na viongozi wengine wanazunguka nchi nzima wanafanya maendeleo saa ngapi? Ni mwanasiasa gani umewahi kumuona anashinda kwenye majukwaa ya siasa 24/7 or 365@ year? Kwa hiyo kwa maneno mengine nchi yetu inaitwa masikini mpaka leo toka tupate uhuru, hali hiyo ilisababishwa na viongozi wote kufanya siasa? Anayezua wenzake kufanya siasa yeye anafanya siasa za wazi na anapozuia wengine kuzifanya kwa mujibu wa sheria anatumia sheria gani?
   
 10. W

  Waziri kivuli JF-Expert Member

  #109
  Jul 13, 2017
  Joined: Nov 30, 2016
  Messages: 2,350
  Likes Received: 2,583
  Trophy Points: 280
  Kwanini serikali haijui walioko nyuma ya mauji ya kibiti?Tuanzie hapo!
   
 11. Fidelisfcm

  Fidelisfcm JF-Expert Member

  #110
  Jul 13, 2017
  Joined: May 27, 2017
  Messages: 266
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  CCM ndo wanatakiwa kufanya monitoring na evaluation na vyama vya upinzani vifanye evaluation tu.Rais yupo kutekeleza alichokabidhiwa na wananchi.

  Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
   
 12. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #111
  Jul 13, 2017
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 11,475
  Likes Received: 3,210
  Trophy Points: 280
  Kama huo mpango umegundulika...mmejiuliza ,ninyi kama chama, kwa nini hao 'wanunuliwaji' wamekuwa wepesi 'kununulika' ?
   
 13. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #112
  Jul 13, 2017
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 11,289
  Likes Received: 12,230
  Trophy Points: 280
  Vyama vingine vitapata wapi wanachama wapya hasa sehemu ambazo hawana uwakilishi? Rais kila siku tunamuona anapokea wanachama wapya wa ccm tena toka vyama pinzani ndio hiyo monitoring? Je wengine wakifanya siasa wanamzuia rais monitoring. Alipata kura 100% mpaka azuie wengine kuendelea na imani zao?
   
 14. Ibambasi

  Ibambasi JF-Expert Member

  #113
  Jul 13, 2017
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 6,902
  Likes Received: 2,628
  Trophy Points: 280
  Laana ya Dr. Slaa na uchafu wa Lowassa havijawahi kuiacha chadema salama. Poleni makamanda.
   
 15. Fidelisfcm

  Fidelisfcm JF-Expert Member

  #114
  Jul 13, 2017
  Joined: May 27, 2017
  Messages: 266
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Kwani wema sepetu alipatikana kwa kufanya mikutano mbona wanapokea tu siyo lazima kuzunguka. Mtu yeyote akiona wanamwlekeo mzuri watajiunga. Mbona madiwani wa chadema wanaondoka na kumuunga mkono rais wakati huo raisi yupo kwingine.

  Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
   
 16. ChamaDola

  ChamaDola JF-Expert Member

  #115
  Jul 13, 2017
  Joined: Dec 23, 2016
  Messages: 3,440
  Likes Received: 2,754
  Trophy Points: 280
  silent kills mnapewa ushauri wa maana,baadala ya kukaa chini na kuufanyia kazi ya ushauli,unaishia kumbwela mbwela!
   
 17. zeshchriss

  zeshchriss JF-Expert Member

  #116
  Jul 13, 2017
  Joined: Apr 27, 2017
  Messages: 2,285
  Likes Received: 2,362
  Trophy Points: 280
  Ngoja nikae macho kodo nione hiko mnachotaka kufanya ......

  Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
   
 18. zeshchriss

  zeshchriss JF-Expert Member

  #117
  Jul 13, 2017
  Joined: Apr 27, 2017
  Messages: 2,285
  Likes Received: 2,362
  Trophy Points: 280
  Wewe unaejua weka uthibitisho hapa tuone

  Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
   
 19. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #118
  Jul 13, 2017
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 11,289
  Likes Received: 12,230
  Trophy Points: 280
  Wema Sepetu ameenda cdm kama matokeo ya siasa chafu. Wapinzani wanahitaji kuzunguka nchi nzima kupata wanachama kihalali kwa siasa safi na sio kusubiri kupata wanachama wahanga wa siasa chafu. Hao madiwani wamehamia ccm nao pia ndio hao ninaokuambia ni siasa chafu. Simply sasa hivi siasa chafu zinafanyika kimachomacho ndani ya kisingizio cha maendeleo na uzalendo uchwara.
   
 20. W

  Wakudadavuwa JF-Expert Member

  #119
  Jul 13, 2017
  Joined: Feb 17, 2016
  Messages: 9,877
  Likes Received: 8,340
  Trophy Points: 280
  Si mlimuona Dr.Slaa hafai,mkachukua bilioni 10?
   
 21. W

  Wakudadavuwa JF-Expert Member

  #120
  Jul 13, 2017
  Joined: Feb 17, 2016
  Messages: 9,877
  Likes Received: 8,340
  Trophy Points: 280
  Mkuu kumbuka Wema ana'followers' wengi kwenye instagram...
   
Loading...