Kuendeleza Elimu ni Jukumu la Wananchi au Serikali?

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
Wanavijiji wanafyatua matofali. Wanajenga madarasa. Wengine wanachanga fedha za ujenzi. Wapo wanaoajiri walimu maana waliopo hawatoshi. Wananchi wadadisi wanauliza Serikali iko wapi? Wanajibiwa kuwa hizo shule ni za Wananchi. Wao ndio wanapaswa kuzimiliki na kuendeleza elimu nchini!Wanasiasa machachari wanasema la hasha!

Wanajamii naomba mnieleze: Haya majukumu ni ya nani?

Wajibu ni wa Serikali, Wananchi au wa Wote?
 
Back
Top Bottom